Year: 2022

Kanda

Mradi wa Maji Butimba sasa kukamilika Desemba

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa kutekeleza agizo la kuhakikisha Mradi wa Maji Butimba, uliopaswa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Mwinyi aagiza ulinzi vyanzo vya maji

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameziagiza taasisi zinazosimamia masuala ya maji safi na salama ikiwamo Wizara ya Maji, Nishati…

Soma Zaidi »
Jamii

Bil 133/- zakopesha vikundi, asilimia 69 zarejeshwa

KATIKA mwaka 2015 hadi 2020, serikali kupitia mapato ndani ya halmashauri nchini imetoa Sh bilioni 133 kwa ajili ya vikundi…

Soma Zaidi »
Africa

Bei ya Petroli Nairibo yapaa kwa Ksh20.18

LITA moja ya petroli jijini Nairobi sasa itauzwa kwa Sh3469.94 (Ksh179.30) kutoka Ksh159 katika bei mpya iliyotangazwa na Mamlaka ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Naibu waziri afafanua upangaji mikopo Helsb

JUMLA ya wanafunzi 1,929 wanaosoma katika taasisi za elimu ya juu zilizopo Zanzibar walipangiwa kupewa mikopo yenye thamani ya Sh…

Soma Zaidi »
Kanda

Wizara yajizatiti utatuzi migogoro ya ardhi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na wizara nyingine za kisekta zitaendelea kudhibiti na kushughulikia migogoro…

Soma Zaidi »
Jamii

Walimu, mume, mke, watoto wakutwa wamekufa

MIILI ya wanafamilia wanne wa familia ya walimu akiwemo baba, mama na watoto wawili imekutwa ndani ya nyumba yao ikiwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Bunge lataka busara taarifa za mauaji

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amelitaka Jeshi la Polisi litumie busara kutangaza taarifa kuhusu matukio ya mauaji. Dk Tulia…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Balozi Possi ataja fursa masoko Ujerumani

BALOZI wa Tanzania nchini Ujerumani, Dk Abdallah Possi amesema wafanyabiashara wa Tanzania wana fursa ya kuuza mbogamboga na matunda katika…

Soma Zaidi »
Asia

Zelenskyy anusurika ajali ya gari

RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy yuko salama baada ya gari kugonga msafara wake mjini Kyiv, msemaji wake Serhii Nykyforov amethibitisha…

Soma Zaidi »
Back to top button