Year: 2022

Afya

Ummy: NHIF haitatetereka, wadanganyifu kikaangoni

SERIKALI imesema haitakubali Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) utetereke, na imetoa siku 14 kwa mfuko uwasilishe mpango…

Soma Zaidi »
Fedha

Serikali yafanyia kazi kilio cha tozo

SERIKALI imesema hoja za wananchi kuhusu wingi wa tozo za kielektroniki zina mantiki hivyo inazifanyia kazi. Waziri wa Fedha na…

Soma Zaidi »
Kanda

Serikali yazuia uuzaji viwanja kiholela

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula amepiga marufuku watu na kampuni wanaouza viwanja kiholela kwa…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Vodacom Tanzania yazindua huduma za 5G

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua huduma za 5G ikitaja kuwa ni mapinduzi ya kwanza kufanyika nchini na yatasaidia…

Soma Zaidi »
Tanzania

MCT yafanya jambo huduma za maktaba

BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limekabidhi zaidi ya nakala 300 za machapisho matano ya vitabu vyenye thamani ya Sh milioni…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kwaheri Mikhail Gorbachev  

RAIS wa zamani wa USSR, Mshindi wa tuzo ya Nobel, Mikhail Gorbachev aliaga dunia Agosti 30 mwaka huu, akiwa na…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Kinana akemea ukabila CCM Kigoma

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea udini, ukabila na ukanda kwa wanachama wake wanaowania uongozi na kuagiza mtu wa aina hiyo…

Soma Zaidi »
Dodoma

Waziri Mbarawa ataka utafiti ajali Mbeya

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, ameitaka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuhakikisha wanafanya utafiti katika eneo la…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Balozi Fatma: Watumishi fanyeni kazi kwa bidii, ushirikiano

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab, amewasihi watumishi wa Ubalozi…

Soma Zaidi »
Afya

‘Tozo zimesaidia afya, elimu, miundombinu’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema bajeti ya mwaka wa…

Soma Zaidi »
Back to top button