Year: 2022

Kanda

Shaka akerwa na mrajis wa ushirika Tabora

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza serikali kupitia Wizara ya Kilimo kumwondoa haraka Mrajis wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Tabora…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Mabilioni ya China kusaidia kutokomeza umaskini

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, amesema serikali inatarajia kunufaika na mpango wa msaada wa miaka mitatu utakaogharimu…

Soma Zaidi »
Biashara

Mapato ya uwekezaji yaing’arisha NSSF

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba, amesema mfuko umepata matokeo makubwa na mazuri…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga yaingia mkataba na Jackson Group

KLABU ya soka ya Yanga imeingia makubaliano ya ubia wa kimasoko na Kampuni ya Jackson Group kwa miaka miwili kwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kim amrudisha Kakolanya Stars

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen baada ya miaka mitatu jana alimjumuisha kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya…

Soma Zaidi »
Mahusiano

Ndoa ya Wolper Novemba

MFANYABIASHARA na mbunifu wa mavazi, Rich Mitindo ambaye pia ni mzazi mwenza wa msanii wa filamu, Jaqueline Wolper ameweka wazi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Majaliwa ashukuru wasanii, wanamichezo

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewashukuru wanamichezo na wasanii kwa mchango walioonesha katika kampeni za kuhamasisha jamii umuhimu wa kushiriki sensa…

Soma Zaidi »
Biashara

Bajeti ya utafiti yaongezwa maradufu

SERIKALI imeongeza fedha za utafi ti kutoka Sh bilioni tatu hadi kufi kia bilioni tisa kwa mwaka wa fedha wa…

Soma Zaidi »
Amerika

Apple yatahadharisha watumiaji wa iPhones, Macs, Ipads

KAMPUNI ya Apple imeonesha dosari ya kiusalama kwa bidhaa zake za  iPhone, iPad na Mac ambayo inaweza kuruhusu wavamizi kuchukua…

Soma Zaidi »
Kanda

Nape ataka habari za kufichua maovu

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka waandishi wa habari nchini kutumia vyema taaluma yao na…

Soma Zaidi »
Back to top button