Year: 2022

Tanzania

Rais Dk Samia kuzindua mradi wa maji Tegeta A/ Mshikamano

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Tegeta A na Mshikamano Desemba 15, 2022 Hayo yamesemwa…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU: Dis 2, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Disemba 2, 2022

Soma Zaidi »
Tanzania

FCC kukutanisha wadau wa mazingira na utalii

OGEZEKO la hewa ukaa linachangia kwa kiasi kikubwa mabadiliko ya tabianchi yanaloleta athari katika ikolojia ikiwemo kudhibiti barafu ya Mlima…

Soma Zaidi »
Kanda

Wasiojulikana waiba kichanga Bukoba

WATU wasiojulikana wameiba mtoto wa mwezi mmoja aliyefahamika kwa jina la Benitha Benedict ambaye wazazi wake ni wakazi wa Migera…

Soma Zaidi »
Biashara

RC Malima apiga marufuku matumizi ya daraja ‘dogo’ la JPM

MKUU wa Mkoa wa Mwanza (RC), Adam Malima, amezuia magari kupita katika daraja la muda linalotumiwa na mkandarasi kupitishia vifaa…

Soma Zaidi »
Biashara

Operesheni funga maduka yazua gumzo Bukoba, Machali acharuka

MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Mosses Machali ameelekeza maduka yote ya wafanyabiashara ambao hawana leseni za biashara yafungwe hadi hapo…

Soma Zaidi »
Kanda

Mauaji ya Lotter: 11  wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

MAHAKAMA Kuu kanda ya Dar es Salaam imewahukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa watu 11 waliokutwa na hatia ya kumuua…

Soma Zaidi »
Kanda

Idadi ya Mawakili wa kujitegemea yavuka 11,000

JAJI Mkuu wa Tanzania Prof Ibrahim Hamis Juma amewataka Mawakili wapya 358 kufungua ofisi karibu na Mahakama za Wilaya nchi…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Tanzania yashiriki mkakati kutokomeza magonjwa sugu

TANZANIA inashiriki kikao kazi cha Mfuko wa Dunia wa Kupambana na Ukimwi,  Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund). Kikao kilichoanza…

Soma Zaidi »
Siasa

Kishindo CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua kampuni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Amani visiwani Zanzibar utakaofanyika Desemba 17,…

Soma Zaidi »
Back to top button