Year: 2022

Tanzania

Makamu wa Rais aitaka TBA kuzingatia ubora wa majengo

Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa wito kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha miradi ya ujenzi wanayotekeleza inazingatia…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU: Nov. 30, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Novemba 30, 2022

Soma Zaidi »
Tanzania

Majaliwa ataka elimu ya bima nchi za Afrika

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka na taasisi zinazohusika na usimamizi wa bima na hifadhi ya jamii barani Afrika zitoe…

Soma Zaidi »
Infographics

Swahil Fashion kufanya Disemba 2 mwaka huu

JUKWAA la Mavazi nchini maarufu kama Swahili Fashion Week, kufanyika Desemba 2, hadi 4, mwaka huu katika ukumbi wa Parthenon/…

Soma Zaidi »
Infographics

Wananchi Katavi waishukuru Serikali huduma ya afya

Wananchi wa Kata ya Kazima Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma ya afya kwa kuwajengea kituo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Tunisia itaifunga Ufaransa?

Tangu mwaka 1930, lilipoanzishwa Kombe la Dunia, Tunisia haikuwahi kushiriki mpaka ilipofika mwaka 1978 na kuishia makundi. kuanzia 1982 haikufuzu…

Soma Zaidi »
Siasa

DC Korogwe aiomba Tamisemi kuingilia kati suala la wakurugenzi

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi amemuomba Waziri wa Tamisemi, Angela Kairuki kuingilia kati hujuma inayofanywa na wakurugenzi wa…

Soma Zaidi »
Afya

Agha Khan, Muhimbili wafanya operesheni 23 kuboresha maumbile

HOSPITALI ya Aga Khan, kwa kushirikiana na shirika la Kimataifa la Reconstruction Woman International (RWI) na Hospital ya Taifa ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kanye West kulipa Tsh milioni 400 malezi ya watoto kwa mwezi

MSANII wa Hiphop kutoka Marekani, Ye (Kanye West) ameamuriwa kumlipa Kim Kardashian Dola $200,000 ambazo ni zaidi ya Shilling milioni…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia atunukiwa shahada ya heshima ya udaktari

RAIS Samia Suluhu Hassan ametunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo wakati…

Soma Zaidi »
Back to top button