Year: 2022

Tanzania

Mkandarasi atekeleza tenda barabara ya Geita Mjini

MKANDARASI wa Kampuni ya Palemon Construction Ltd ya jijini Mwanza anadaiwa kutelekeza tenda ya mradi wa barabara yenye urefu wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba, Azam, Yanga wapangiwa wababe wao

DROO ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam imetoka leo, Yanga imepangwa kucheza na Kurugenzi FC, Simba na Eagle…

Soma Zaidi »
Asia

Rais wa zamani China afariki

#BREAKING #NEWS: Rais wa zamani wa Jamhuri ya Watu wa China, Jiang Zemin, ambaye aliongoza nchi kupitia mabadiliko kisiasa mwishoni…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

MAKALA: Wachezaji wa kigeni walivyoifanya ufaransa kuwa bora

Julai12,1998 Timu ya Taifa ya Ufaransa kwa mara ya kwanza ilishinda ubingwa wa Kombe la Dunia, ikiifunga Brazil mabao 3-0…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sensa imerahisisha – Mavunde

NAIBU Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amepongeza zoezi la sensa ya watu na makazi mwaka 2022 kwa kutoa takwimu za…

Soma Zaidi »
Uchumi

Majaliwa: Hakuna uwekezaji utakaokwama

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali ina dhamira ya dhati kuhakikisha wawekezaji wanapata faida na hakuna mwekezaji atakayekwama kwa namna…

Soma Zaidi »
Biashara

Uingereza yafuta ushuru bidhaa za Tanzania

SERIKALI ya Uingereza imefungua milango kwa bidhaa za Tanzania kulifikia soko la nchi hiyo bila kutozwa ushuru. Kaimu Katibu Mkuu…

Soma Zaidi »
Infographics

Chatanda aahidi kufuata dira anayoitaka Samia

UONGOZI mpya wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) umeahidi kuongoza jumuiya hiyo kwa kuzingatia dira aliyoitoa Mwenyekiti…

Soma Zaidi »
Wanawake

Mtandao wa Wanawake watoa msukumo kwa nafasi za uongozi

MRATIBU wa Kitaifa wa Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu (CWHRDS), Hilda Dadu amesema mtandao wake unaendelea kutoa…

Soma Zaidi »
Kanda

Takukuru yaitaja Serikali za Mitaa kinara wa rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani hapa imeitaja Serikali za Mitaa kuwa kinara wa taarifa za rushwa…

Soma Zaidi »
Back to top button