Year: 2022

Podcast

HABARI KUU: Nov. 29, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Novemba 29, 2022

Soma Zaidi »
Tanzania

Watumishi 21 wasimamishwa Tanga

MKUU wa Mkoa wa Tanga Omar Mgumba amewasimamisha kazi watumishi wa umma 21  kwa kuhusika  katika tukio la moto lililochoma…

Soma Zaidi »
Uchumi

Majaliwa: Uwekezaji nchini hautakwama

WAZIRI  Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono wawekezaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rushwa ya ngono ‘Kagueni vyeti sio maungo’

WAKATI Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia,  wadau wa masuala ya jinsia…

Soma Zaidi »
Infographics

Wananchi Kyerwa wasogezewa karibu kuduma za kisheria

Wananchi wa wilaya ya Kyerwa wanatarajia kupunguza mwendo wa kilometa 100 ambao walikuwa wakitembea kutoka Kyerwa hadi Karagwe kwa ajili…

Soma Zaidi »
Infographics

COSOTA kutoa elimu kwa vyama na mashirikisho kutambua haki

MSIMAMIZI wa Haki Miliki (COSOTA)  Doreen Sinare amesema wameanza kutoa elimu kwa vyama na mashirikisho ya sanaa ili kuwajengea uwezo …

Soma Zaidi »
Infographics

Waziri Mkuu aiagiza Dawasa kutafuta vyanzo vipya vya maji

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuendelea kutafuta vyanzo vipya…

Soma Zaidi »
Infographics

TRA Katavi yatoa tuzo 16 walipa kodi bora

Katika kuhitimisha wiki ya mlipa kodi, mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Katavi imekabidhi tuzo 16 kwa walipa kodi…

Soma Zaidi »
Infographics

TRA Katavi yakusanya zaidi ya bilioni 7/-

Katika mwaka wa fedha 2021/22 Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Katavi imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 7.2 sawa na…

Soma Zaidi »
Infographics

Imani za kishirikina,tiba asili tishio magonjwa yasiyoambukiza

MATUMIZI YA ya tiba asili na Imani za kishirikina zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu kubwa za wagonjwa wenye magonjwa yasiyoambukiza(MYA)…

Soma Zaidi »
Back to top button