Year: 2022

Siasa

Ashinda kwa kishindo uwenyekiti jumuiya ya wazazi

Julius Kaondo ameshinda kwa kishindo kwa kura 565 kati ya kura 652 zilizopigwa katika nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya…

Soma Zaidi »
Utamaduni

Waziri Mchengerwa azindua tamasha la utamaduni

Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amezindua Tamasha la Msimu wa Utamaduni wa Afrika Kusini na Tanzania linalotarajiwa…

Soma Zaidi »
Siasa

Viongozi Urambo wajifunza biashara ya hewa ukaa

Timu ya viongozi 38 wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo mkoani Tabora ikijumuisha madiwani pamoja na wataalamu wamefanya ziara mkoani…

Soma Zaidi »
Siasa

UVCCM Geita wajipanga kumsaidia Rais Samia

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Geita wamejidhatiti kumusaidia Rais Samia Suluhu kutekeleza, kusimamia na kukamilisha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Bosi Fifa atishia kujiuzulu kisa ‘pombe’ Qatar 2022

Rais wa FIFA, Gianni Infantino amesema kama pombe ndilo suala kubwa linalopigiwa kelele kuelekea Kombe la Dunia basi atajiuzulu mara…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba kuikabili Ruvu Shooting leo

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba wanatarajiwa kushuka dimbani leo kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa mzunguko wa 13 utakaochezwa kwenye Uwanja…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Mwinyi awataka mabalozi waibebe nchi

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewataka na kuwapa mbinu mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania kwenye mataifa mengine wahakikishe wanapotekeleza majukumu yao,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ahimiza Jumuiya Wazazi kutoa uongozi utakaosimamia maadili

VIONGOZI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametakiwa kuweka viongozi watakaopinga vitendo vya udhalilishaji, ukiukwaji wa maadili…

Soma Zaidi »
Afya

Majaliwa: Serikali iko imara huduma za jamii

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali iko imara na itaendelea kuhakikisha huduma mbalimbali za kijamii zinawafikia wananchi kwa ukaribu. Alisema…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ujerumani yatoa bil 210/- miradi ya afya na maji

UJERUMANI imeipatia Tanzania msaada wa Sh bilioni 210 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya sekta za afya, maji, utalii,…

Soma Zaidi »
Back to top button