Year: 2022

Tanzania

TRC kutumia mabehewa mapya mwaka mpya Dar- Arusha

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) kati ya Julai mwaka 2020 hadi Julai Julai mwaka huu limekusanya zaidi ya Sh milioni…

Soma Zaidi »
Tanzania

 Serikali yapigilia msumari utunzaji mazingira nchini

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa mwito kwa Watanzania walione suala la kutunza mazingira kama ni vita. Dk Mpango…

Soma Zaidi »
Biashara

Dr Mpango aonya biashara ya ‘unga’, uvuvi haramu

SERIKALI imeonya wanaojihusisha na uhalifu mkoani Tanga ikiwamo biashara haramu ya dawa za kulevya, biashara za magendo, uvuvi haramu, wahamiaji…

Soma Zaidi »
Maisha ya Vijijini

‘Lambalamba’ 170 mbaroni ramli chonganishi

JESHI la Polisi mkoani Rukwa limewakamata waganga wa kienyeji 170 maarufu kwa jina la lambalamba wakiwamo wanawake 37 wanaotuhumiwa kujishirikisha…

Soma Zaidi »
Bunge

Lusinde ataka Dk Bashiru ajiuzulu

MBUNGE wa Mvumi, Livingston Lusinde (CCM) amemshauri Mbunge wa Kuteuliwa, Dk Bashiru Ali ajiuzulu ili Rais Samia Suluhu Hassan ateue…

Soma Zaidi »
Infographics

DESCHAMPS: Hakuna mbadala wa Benzema

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps hatomuita mshambuliaji yoyote kuchukua nafasi ya Karim Benzema aliyeumia mazoezini jana…

Soma Zaidi »
Infographics

Naibu Waziri Masanja akabidhi vifaa vya mazoezi kwa wenye uhitaji

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amekabidhi vifaa mbalimbali vya mazoezi ya viungo kwa watoto wenye ulemavu wanaoishi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ni Valencia, ainyuka Qatar

MCHEZO wa kwanza wa ufunguzi wa michuano ya Fifa ya Kombe la Dunia umemalizika kwa wenyeji Qatar kukubali kichapo cha…

Soma Zaidi »
Amerika

Musk amrejesha Trump Twitter

MMILIKI wa Twitter na Bosi wa Tesla, Elon Musk amerejesha akaunti ya Twitter ya Rais wa zamani wa Marekani Donald…

Soma Zaidi »
Dodoma

Mwakitalima afafanua hali kwa wanaopoteza choo

MTU mmoja ambaye hana choo hupoteza takribani saa 58 kwa mwaka kutafuta muda wa kujisitiri. Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Afya,…

Soma Zaidi »
Back to top button