Year: 2022

Utalii

Wadau wa misitu wafundwa

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amewaasa wadau wa misitu kote nchini washiriki kikamilifu katika usimamizi na utunzaji…

Soma Zaidi »
Madini

Wasioendeleza machimbo Makaa ya Mawe kufutiwa vibali

WAZIRI wa Madini Dkt Dotto Biteko ametoa miezi mitatu kwa Tume ya Madini kufanya uchambuzi wa kina na kubaini waliohodhi…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Mradi wa Maji Ziwa Victoria wanukia

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (MAUWASA) inategemea kuanza ujenzi wa mradi wa maji utakao unganisha…

Soma Zaidi »
Afya

Aliyekuwa Kocha Simba adakwa na dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imewakamata watuhumiwa 11 akiwemo aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Malipo ya Kombe la Dunia yasaidie wenye uhitaji – Rudiger

BEKI wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ujerumani, Antonio Rudiger ameanza kampeni za mashindano ya kombe la dunia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bunge: miradi ya utalii kukuza Pato la Taifa kwa 17%

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Ally Juma Makoa amesema kuwa miradi ya uendelezaji…

Soma Zaidi »
Asia

Washington, Beijing za ahidi kushirikiana kuboresha uhusiano

RAIS wa Marekani, Joe Biden na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping wameahidiana kushirikiana kutatua changamoto zinazokumba…

Soma Zaidi »
Biashara

TRA yafuta vikosi kazi ukusanyaji mapato

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Uledi Mussa amesema hakuna tena vikosi kazi katika ukusanyaji…

Soma Zaidi »
Africa

Msumbiji yaanza kusafirisha Kimiminika Gesi Asilia

KAMPUNI ya mafuta ya Uingereza BP imefanikiwa kupakia shehena ya kwanza ya kimiminika cha gesi asilia (Liquefied Natural Gas –…

Soma Zaidi »
Africa

Uhuru Kenyatta ataka waasi DRC kuweka silaha chini

MAPIGANO kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23 yanaendelea Mashariki mwa DRC karibu na mji wa kimkakati wa…

Soma Zaidi »
Back to top button