Year: 2022

Kanda

Waliofariki ajali ya Dodoma wafika saba

IDADI ya watu waliopoteza maisha katika ajali iliyohusisha Basi la Arusha Express na Lori katika eneo la Mzakwe Dodoma imefikia…

Soma Zaidi »
Africa

Burna Boy Ashinda Tuzo ya Msanii bora Afrika MEMA 2022

The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards…

Soma Zaidi »
Jamii

TASAC yatoa elimu ya usalama, mazingira Moro

Shirika la Uwakala wa Meli nchini (TASAC) limetoa elimu ya ulinzi, na utunzaji wa mazingira kwa wananchi wa wilaya ya…

Soma Zaidi »
Infographics

Tamasha la sanaa, utamaduni neema vipato Bagamoyo

WAENDESHA bodaboda, wenye migahawa, hoteli na nyumba za kulala wageni wamesema Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni…

Soma Zaidi »
Africa

EAC kuzungumza na Tshisekedi amani mashariki ya DRC

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imepanga kuzungumza na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi mjini Kinshasa…

Soma Zaidi »
Maisha ya Vijijini

Kijana auawa kwa bomu kilabuni

MKULIMA mkazi wa kijiji cha Basanza wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma amefariki dunia baada ya kulipuliwa na bomu la kurusha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jela miaka 20 kwa kukutwa na nyama ya pundamilia

MKAZI wa Kigongoni Katika Mji wa Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha, Waziri Mkomwa (32] amehukumiwa kifungo cha miaka…

Soma Zaidi »
Tanzania

NECTA yaonya udanganyifu kidato cha nne

BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limeonya wasimamizi, wamiliki wa shule, walimu, wazazi na walezi kutojihusisha kwa namna yoyote na…

Soma Zaidi »
Tanzania

CCM yateua wagombea jumuiya zake

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) imeteua majina ya wanachama wake watakaogombea nafasi za uongozi katika jumuiya…

Soma Zaidi »
Biashara

Ashauri mbinu zitafutwe maskini kuchangia uchumi

SERIKALI imeshauriwa kutumia takwimu za pato ghafi la nchi kuweka uwiano wa vipato katika sera za kiuchumi ili kupunguza pengo…

Soma Zaidi »
Back to top button