Year: 2022

Uchumi

TCRA yafungua milango kwa vijana

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewafungulia milango vijana wabunifu katika Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa kuwapa uwezeshaji uliokuwa unakwamisha…

Soma Zaidi »
Kanda

Shuhuda wa ajali ya Precision Air: Nilitamani kuandika barua

ZIKIWA zimepita siku nane tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya ‘Precison Air’ katika Ziwa Victoria na kuuwa watu 19,…

Soma Zaidi »
Afya

Serikali kuboresha mikakati ya dharura na majanga

WIZARA ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi…

Soma Zaidi »
Kanda

Mbio za Serengeti za hitimishwa Bunda

NAIBU Waziri wa Utalii, Mary Masanja amewataka Wananchi wanaoishi Kanda ya Ziwa kutumia ipasavyo fursa zinazotokana na Serengeti Safari Marathon…

Soma Zaidi »
Podcast

HABARI KUU: Nov. 14, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Novemba 14, 2022

Soma Zaidi »
Kanda

Baraza la Mawaziri lataka uchunguzi wa kina ajali ya Precision Air

MSEMAJI wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Baraza la Mawaziri limewaelekeza wataalam wa ndani kushirikiana na wataalam kutoka nje ya nchi…

Soma Zaidi »
Kanda

Ewura yataka Mamlaka za Maji kutoa taarifa sahihi

Mkurugenzi Mkuu wa  EWURA Mhandisi Modestus Lumato, amezitaka Mamlaka za Maji nchini kuhakikisha zinatoa taarifa sahihi za huduma ya maji…

Soma Zaidi »
Asia

Waziri wa Urusi augua ghafla ugenini

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amekimbizwa katika Hospitali ya Bali nchini Indonesia baada ya jana kuwasili…

Soma Zaidi »
Muziki

Helikopta sasa kutua Mlima Kilimanjaro

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua…

Soma Zaidi »
Kanda

47 wafikishwa mahakamani kwa Bangi

WATU 47 wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na Bangi kilo 82 kinyume cha Sheria, Kaimu Kamanda wa Jeshi la…

Soma Zaidi »
Back to top button