Year: 2023

Michezo na Burudani

Kombe AFL hili hapa

RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe amelitambulisha rasmi kombe ambalo atakabidhiwa bingwa wa michuano ya African Football…

Soma Zaidi »
Tanzania

SBL yafadhali vijana 300 kuinua kilimo

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imeitikia wito wa serikali na wadau wengine unaolenga kuzalisha maafisa ugani wengi zaidi watakaosaidia…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

AFL timu 24 mwakani

RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Patrice Motsepe amesema kuanzia msmu ujao michuano ya African Football League itashirikisha timu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia akutana na Rais wa CAF

RAIS wa Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe…

Soma Zaidi »
Jamii

Jela miaka 60 kwa kumpa mimba mwanafunzi

RUVUMA; Tunduru. MAHAKAMA ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, imemhukumu  kifungo cha miaka 60 Jela,  Faraji Milanzi  Yasini (20), mkulima…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wenger awasili Tanzania kuishuhudia Simba SC

MKUU wa maendeleo ya soka kutoka Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) Arsene Wenger amewasili Tanzania kushuhudia mchezo wa AFL kati…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Infantino huyu hapa Tanzania

RAIS wa FIFA Gianni Infantino amewasili nchini leo asubuhi kwa ajili ya ufunguzi wa mchezo wa African Football League kati…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kishindo cha Wanariadha waliofanya vizuri Japan

KILIMANJARO: KIKOSI cha Wanariadha wa Tanzania kilicho fanya vyema katika mashindano ya mbio ndefu na fupi katika michuano ya mbio…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanafunzi wapewa somo udhibiti dawa za kulevya

WANAFUNZI zaidi ya 1,141 wa shule ya sekondari Kisimiri na walimu 45 wamepewa mafunzo maalum ya kudhibiti madawa ya kulevya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakulima kujiandikisha ugawaji wa mbolea Shinyanga

SERIKALI imeleta tani 3,278 za mbolea mkoani Shinyanga nakuwataka wakulima kujiandikisha na wale ambao walijiandikisha mwaka jana wahuishe majina yao…

Soma Zaidi »
Back to top button