Year: 2023

Tanzania

Tunaunganishwa kutokea Tanzania- Infantino

“MPIRA wa Miguu unaunganisha Dunia na hapa unaunganisha kutokea Tanzania.” amesema Rais wa FIFA, Gianni Infantino. – Kiongozi huyo ametoa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watakiwa kuacha ufugaji wa kizamani

KATAVI; Wafugaji mkoani Katavi wametakiwa kuachana na ufugaji wa kizamani wa kuhamahama na mifugo, badala yake wafuge kwa kuzingatia mbinu…

Soma Zaidi »
Jamii

Wauawa kwa kuchinjwa wivu wa mapenzi

KATAVI; Tanganyika. Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba, Al-Ahly vikosi hivi hapa

Vikosi vya timu zote mbili vimetoka kuelekea mchezo wa AFL kati ya Simba dhidi ya Al-Ahly AL-AHLY: XI: El Shenawy…

Soma Zaidi »
Tanzania

Chanzo cha moto Kariakoo ni hujuma-Chalamila

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema chanzo cha moto Kariakoo ni hujuma iliyofanywa na wafanyabiashara wenyewe…

Soma Zaidi »
Maisha ya Vijijini

Wananchi kunufaika na mradi wa maji Muheza

WANANCHI takribani 3,700 katika vijiji vya Mbobole na Sakale wilayani Muheza mkoani Tanga watanufaika na mradi wa maji safi wenye…

Soma Zaidi »
Tanzania

Majaji wapigwa msasa Dar

DAR ES SALAAM: MAJAJI kutoka Afrika Mashariki wamekutana leo Oktoba 20, 2023 jijini Dar es salaam kwenye mafunzo yaliyohudhuriwa na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Nyashinski kukiwasha kesho Dar

MWANAMUZIKI kutoka Kenya, Nyamari Ongegu ‘Nyashinski’ amewasili leo Oktoba 20, 2023 Dar es salaam kutubuiza katika tamasha kubwa la “Serengeti…

Soma Zaidi »
Tanzania

Raia wa India kortini kesi ya uhujumu uchumi

SHINYANGA; Kahama. RAIA watatu wa India, leo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wakituhumiwa makosa mbalimbali ikiwemo uhujumu…

Soma Zaidi »
Afya

Wagonjwa 480 watolewa mawe njia mawimbi mtetemo

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imehudumia zaidi ya wagonjwa 480 waliokuwa na changamoto ya mawe kwenye figo kwa kutumia mashine maalumu…

Soma Zaidi »
Back to top button