Year: 2023

Tanzania

TET, Takukuru wakubaliana maeneo 7

DSM; TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wamesaini hati ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mtibwa yaachana na Habib Kondo

KLABU ya Mtibwa Sugar imesitisha mkataba na kocha Habib Kondo kwa makubaliano ya pande zote mbili. – Mtibwa wametoa taarifa…

Soma Zaidi »
Afya

Wenye betri ya moyo wana hatari kupata changamoto ya akili’

DSM; UTAFITI mpya uliochapishwa Oktoba 17,2023 katika jarida la kisayansi la kimataifa la Sage, umeonesha kuwa wagonjwa wa moyo waliowekewa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Arusha watakiwa kulipa wenyeviti wa mitaa posho zao

ARUSHA; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amemwagiza Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Juma Hamsini kuwalipa posho zao wanazodai…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbaroni akidaiwa kuua watoto mapacha

MOROGORO; JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Roda Peter (30) mkazi wa Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma ya kuua…

Soma Zaidi »
Infographics

Adaiwa kuiba mtoto wa mama mwenye matatizo afya ya akili

MOROGORO; JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Glory Barnabas (23) mkulima na mkazi wa Kata ya Tungi, Manispaa ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mvua yaleta balaa Bukoba

KAGERA; Bukoba; Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha alfajiri ya leo Oktoba 18, 2023, imesababisha madhara katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Mwenye ulemavu wa macho aja kivingine kwenye teknolojia

DSM; KIJANA Malick Hamis (24) mwenye ulemavu wa macho amebuni mfumo wa kupakua sauti kwa kutumia kompyuta na kuziunganisha, jambo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba kuvuna Sh milioni 10 kila bao

Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa zawadi ya Sh 10 milioni kwa kila goli litakalofungwa katika mchezo wa African Football…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Biden atua Israel

Rais wa Marekani, Joe Biden amewasili Israeli leo na kupokewa na Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu. – Kuwasili kwa Biden huko…

Soma Zaidi »
Back to top button