Year: 2023

Kimataifa

Mwigizaji Gambon afariki dunia

MWIGIZAJI Michael Gambon kutoka Uingereza amefariki dunia akiwa hospitalini, taarifa ya familia imeeleza. – Gambon,82, filamu kadhaa za Harry Potter.…

Soma Zaidi »
Infographics

Synthetic Biology: Shaping the Future

In the Age of Information, news media faces both unprecedented opportunities and significant challenges.

Soma Zaidi »
Jamii

‘Wananchi wamechangia mabadiliko viongozi Mtwara’

MTWARA; SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Kusini, imesema panguapangua ya baadhi ya viongozi mkoani Mtwara imesababishwa…

Soma Zaidi »
Madini

Maabara ya MSA kivutio upimaji madini

GEITA; ZAIDI ya sh bilioni 5 za Kitanzania zimewekezwa katika maabara ya MSA inayopima sampuli za madini kwa kiwango cha…

Soma Zaidi »
Madini

Waziri Mavunde awapa neno wadau wa madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema serikali itahakikisha inasimamia kwa ufanisi kampuni zote za uwekezaji kwenye sekta ya madini ziweze…

Soma Zaidi »
Jamii

Serikali yaja na mikakati ya kukomesha ukatili wa watoto

ARUSHA: KATIKA kupambana na matukio ya ukatili kwa watoto mashuleni na majumbani Serikali imeweka mikakati mbalimbali ya kuzuia matendo hayo…

Soma Zaidi »
Fursa

Dk. Mwinyi akipigia chapuo kilimo hai

RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inatambua fursa zilizopo katika Kilimo hai kupitia mkakati uliondaliwa na Wizara…

Soma Zaidi »
Jamii

Waandishi wapewa ‘dawa’ kukwepa rushwa ya ngono

DSM; MKURUGENZI  Mstaafu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake (Tamwa), Dk. Ananilea Nkya amesema rushwa ya ngono inaweza kukomeshwa…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Rushwa ya ngono kikwazo wanawake kupanda uongozi’

MKURUGENZI Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake (Tamwa),  Rose Reuben amesema rushwa ya ngono ni moja ya visababishi…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanahabari wanyooshewa kidole rushwa ya ngono

DSM; UKOSEFU wa mikataba ya ajira, kipato duni imetajwa kuwa  blanketi zito lililofunika tasnia ya habari na kuchochea rushwa ya…

Soma Zaidi »
Back to top button