Year: 2023

Siasa

Mwenyekiti Chadema ajiunga CCM

GEITA. Bukombe. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kata ya Bulega wilayani Bukombe mkoani Geita, Dotto Ngaga ametangaza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia atoa miezi sita changamoto ya umeme

RAIS Samia Suluhu Hassan amempa miezi sita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (TANESCO) Gissima Nyamo Hanga kusimamia ukarabati wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mapokezi ya Magdalena yanoga Arusha

ARUSHA; Mwanariadha wa Tanzania Magdalena Shauri, aliyeibuka nafasi ya tatu kwenye mashindano ya riadha ya Berlin yaliyofanyika Berlin, Ujerumani mwishoni…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia afafanua uhamisho wa Maharage Chande

RAIS Samia Suluhu Hassan ametolea ufafanuzi uhamisho wa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Maharage Chande ambaye alihamishwa kutoka Shirika…

Soma Zaidi »
Diplomasia

“Amani inaepusha migogoro”

“TANZANIA inaendelea kujitolea kikamilifu na iko tayari kufanya kazi na familia ya Umoja wa Mataifa katika kudumisha amani na usalama…

Soma Zaidi »
Jamii

Aweso atoa maagizo kwa Mamlaka zilizo chini ya Wizara yake

WAZIRI wa maji Jumaa Aweso amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Jamal Katundu kuzisimamia Bodi za Mamlaka za maji 25…

Soma Zaidi »
Afya

BAKWATA Dar yakabidhi Vifaa vya huduma za kijamii Muhimbili, Ocean Road

DAR ES SAALAM: BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA Mkoa wa Dar es Salam wametoa misaada kwa wagonjwa waliopo katika…

Soma Zaidi »
Siasa

CCM yatoa mwelekeo wa vijana 2030

DAR ES SALAAM: MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM) Rehema Sombi, amesema CCM imeendelea…

Soma Zaidi »
Jamii

Makaburi ya kipunguni kuhamishwa

DAR ES SALAAM: HALMASHAURI ya jiji la Dar es Salaam (DCC) kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja…

Soma Zaidi »
Biashara

Serikali kukabiliana na kupanda kwa bei za vyakula

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeanza kuchukua hatua kukabiliana na upandaji wa bei za vyakula hasa…

Soma Zaidi »
Back to top button