Year: 2023

Jamii

Wapandishwa kizimbani kwa kumpiga Mtu risasi

DAR ES SALAAM: WAFANYABIASHARA wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka…

Soma Zaidi »
Tanzania

PSSSF waipongeza serikali kulipa madeni

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeipongeza serikali kwa kulipa madeni kwa mfuko huo ‘Hati Fungani’ ya Sh trilioni…

Soma Zaidi »
Siasa

Majaliwa: Watumishi Halmashauri wakae vijijini

KIGOMA, Uvinza: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kama Rais Samia Suluhu Hassan anafanya ziara na kusikiliza kero za wananchi, haoni…

Soma Zaidi »
Siasa

Mchengerwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Busega

DODOMA:Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri…

Soma Zaidi »
Amerika

Mpango asisitiza amani Umoja wa Mataifa

MAREKANI, New York: Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa…

Soma Zaidi »
Kanda

Vijiji vyote Mtwara kuwa na umeme

MTWARA; SERIKALI imesema hadi kufikia Desemba 2023 vijiji vyote 758 mkoani Mtwara vitakuwa vimepata umeme. Akizungumza mkoani Mtwara, Naibu Waziri…

Soma Zaidi »
Afya

Upasuaji MOI kufikia wagonjwa 42 kwa siku

DSM; TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imepokea vifaa tiba, vipandikizi na vifaa vya upasuaji  vya kisasa…

Soma Zaidi »
Biashara

TTCL wawazia makubwa Mkongo wa Taifa

DAR ES SALAAM; Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limejipanga kufanya upanuzi wa mkongo wa Taifa ili  kuongeza mawasilino hadi upande…

Soma Zaidi »
Jamii

Wakenya mbaroni wizi  kwenye magari

TANGA; Jeshi la polisi mkoani Tanga limekamata raia wawili kutoka nchini jirani ya Kenya wakituhumiwa kufanya matukio ya wizi kwenye…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Uvuvi haramu una athari kwa walaji samaki’

DAR ES SALAAM; WAVUVI nchini wametakiwa kufuata kanuni za uvuvi na kuachana na uvuvi haramu kwani una athari kubwa kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button