Year: 2023

Tanzania

Wakandarasi wazawa wafundwa

WAKANDARASI wazawa wametakiwa kuzisimamia kampuni zao kwa ufasaha kwa kufuata sheria za manunuzi ya umma. Pia, wametakiwa kulipa kodi kwa…

Soma Zaidi »
Afya

Tishio la Polio kampeni nyumba kwa nyumba

JUMLA ya watoto milioni 3.2 walio chini ya umri wa miaka nane wanatarajiwa kupata chanjo ya Polio itakayotolewa Septemba 21…

Soma Zaidi »
Bunge

Serikali yazungumzia upatikanaji fedha za kigeni

SERIKALI imesema pamoja na changamoto zilizojitokeza hali ya upatikanaji wa fedha za kigeni nchini imeendelea kuwa himilivu. Kauli hiyo imetolewa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Takukuru: Mtaa kwa mtaa yawafikia maelfu

KAMPENI  ya mtaa kwa mtaa ya uelimishaji jamii kutambua madhara ya vitendo vya rushwa imewafikia watu  12,671  mkoani Kigoma ambapo…

Soma Zaidi »
Afya

Vifaa vya mil.16 vya kujipima ukimwi vyasambazwa

DODOMA: WIZARA ya Afya kwa Kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI imesambaza  vifaa zaidi ya milioni 1.6  vya mtu kujipima…

Soma Zaidi »
Afya

Ummy: Tumieni ARV kwa usahihi

DODOMA: WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amewataka watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi kuzingatia  matumizi sahihi na endelevu ya dawa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Taifa Stars yafuzu tena michuano ya AFCON 2023

ALGERIA, Algiers: Timu ya soka ya wanaume ‘Taifa Stars’ wameibuka mashujaa wa taifa kwa kufuzu Michuano ya Mataifa Afrika kwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Taifa Stars yafuzu Afcon 2023

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ usiku huu imeandika historia nyingine huko nchini Algeria, baada ya kufuzu mashindano ya…

Soma Zaidi »
Bunge

Bunge lapitisha Muswada Sheria ya Ununuzi wa Umma

BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma wa mwaka 2023. Muswada huo uliwasilishwa mapema leo asubuhi na Waziri…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

BMT wakabidhi bendera timu ya ngumi

DAR ES SALAAM: Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeiaga kwa kuikabidhi bendera ya taifa timu ya ngumi za wazi…

Soma Zaidi »
Back to top button