Year: 2023

Madini

Mavunde aagiza dosari za uchimbaji zifanyiwe kazi Mwakitolyo

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amemuelekeza  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo kufanyia kazi marekebisho ya dosari…

Soma Zaidi »
Infographics

Kero 117 zaibuliwa Takukuru Kigoma

JUMLA ya kero 117 zimeibuliwa na wananchi kupitia vikao vya kata viliivyofanywa na Taasisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa…

Soma Zaidi »
Siasa

Makonda aagiza stendi iliyofungwa Sengerema ifunguliwe

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ya CCM Taifa, Paul Makonda, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema,…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kocha Mamelodi atangaza raha

KOCHA Mkuu wa timu ya  Mamelodi Sundowns, Rulani Mokwena amejinasibu kuishangaza Afrika  leo kwenye mchezo dhidi ya Wydad Athletic Club…

Soma Zaidi »
Tanzania

Daraja Kitengule lakamilika kwa asilimia 99

UJENZI wa daraja la Kitengule kwenye mto Kagera uliogharimu zaidi ya Sh bilioni 31 .5 umekamilika kwa asilimia 99 likiwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh bilioni 92 kujenga barabara Bugene-Burigi Chato

SERIKALI imetoa Sh bilioni 92.84 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Bugene kwenda Burigi Chato Hifadhi ya Taifa yenye…

Soma Zaidi »
Jamii

Ujenzi Chuo cha Ualimu Ngorongoro wafikia patamu

ZAIDI Sh milioni 413.923 zimetolewa na serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa ya ukamilishaji wa majengo saba…

Soma Zaidi »
Jamii

Wachangia Sh Mil 51 ujenzi wa uzio

KAGERA; Bukoba. Wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani Kagera wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Fatuma Mwassa,  wameshiriki harambee ya…

Soma Zaidi »
Infographics

Mambo safi Supu Day

DAR ES SALAAM; UNAAMBIWA mvua si kikwazo cha kujitokeza kunywa supu. Mashabiki na wanachama wa Yanga, pamoja wadau wengine wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Soka la wanawake na unyanyapaa michezoni

TANZANIA ni mfano wa mataifa ya kuigwa yaliyopiga hatua kwenye soka la wanawake, kwa kushiriki Kombe la Dunia kwa wanawake…

Soma Zaidi »
Back to top button