Year: 2024

Jamii

Makalla akemea imani za kishirikina

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa(CCM-NEC),Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Kiteto…

Soma Zaidi »
Featured

Tanesco yatakiwa kurekebisha miundombinu Mtwara

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imelitaka Shirika la Umeme (TANESCO) mkoani Mtwara inarekebisha miundombinu ya umeme…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kutumia ndege kuzuia uvuvi haramu

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Trump na Harris wachuana kwa karibu

MAREKANI : MAKAMU wa Rais Kamala Harris na Rais wa zamani Donald Trump wameendelea kuchuana kwa karibu katika mbio za…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Gonzalez aahidi mapambano

VENEZUELA : KIONGOZI wa upinzani nchini Venezuela Edmundo Gonzalez, ameahidi kuendeleza  mapambano  dhidi ya Rais wa Venezuela  Nicolas Maduro hata…

Soma Zaidi »
Afya

Idara ya kinga mjipange usafi wa majiji

DODOMA : WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama ameitaka Idara ya Kinga Wizara ya Afya kuimarisha mpango mkakati wa kusimamia suala…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Urusi yashutumiwa hujuma za mtandao

UJERUMANI : IDARA  ya upelelezi Ujerumani imeishutumu Urusi kuhusika na hujuma dhidi ya wanasiasa na kampuni za Ujerumani. Kwa kushirikiana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Aomba taulo za kike ziondolewe VAT

SERIKALI imeombwa kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ya asilimia 18 kwenye taulo za kike ili kuwezesha bidhaa hiyo…

Soma Zaidi »
Madini

THBUB yathibitisha hakuna ukiukaji

MARA : TUME  ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imebainisha kuwa  hakukuwa  na ukiukwaji wowote wa haki za…

Soma Zaidi »
Afya

Sh millioni 200 kujenga zahanati Mirerani

SERIKALI imetoa Sh milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati mgodini Mirerani Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala…

Soma Zaidi »
Back to top button