Year: 2024

Infographics

Watanzania wang’ara Kilimanjaro Marathon

WANARIADHA watanzani wameiheshimisha nchi baada ya kung’aa katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon yaliyofanyika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi…

Soma Zaidi »
Afya

Majeruhi ajali Arusha kutibiwa bure

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema majeruhi wa ajali iliyotokea jana eneo la Ngaramtoni mkoani Arusha watatibiwa bure. Naibu Waziri wa…

Soma Zaidi »
Jamii

Rais Samia ataka udhibiti leseni za madereva

RAIS Samia Suluhu Hassan ameviagiza vyombo vya Ulinzi na Usalama kudhibiti leseni za madereva wanaovunja sheria za barabarani. Rais Samia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Mpango atoa pole vifo vya watu 25 Arusha

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango ameungana na Rais Samia kutoa pole kwa wote walioguswa na vifo vya watu 25…

Soma Zaidi »
Biashara

Katavi wapokea tani 30 za sukari nyingine 214 kuwasili

MPANDA, Katavi: MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf amewataka wafanyabiashara mkoani Katavi kuzingatia bei elekezi ya sukari Sh 3200…

Soma Zaidi »
Jamii

Ajali mbaya Arusha

ARUSHA: Watu 15 wamefariki dunia papo hapo mkoani Arusha katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu. Akiwa katika eneo la…

Soma Zaidi »
Siasa

Alikua na kazi maalum, CCM imepoteza – Nchimbi

TABORA: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kifo cha Mwenyekiti wa CCM…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Kinana amfariji Katibu Swapo

NAMIBIA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara)  Abdulrahman Kinana, akitoa pole kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Swapo, Sophia…

Soma Zaidi »
Biashara

Biashara ya mbaazi Tanzania, India mambo safi

NEW DELHI, India: TANZANIA imeruhusiwa kuiuzia India kiasi cha mbaazi inachoweza kuanzia sasa hadi Machi 2025. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Februari…

Soma Zaidi »
Jamii

Wananchi Dsm kicheko ongezeko shule mchepuko wa kiingereza

DAR ES SALAAM: WANANCHI wa hali ya chini katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, wamefikiwa baada ya kuanzishwa…

Soma Zaidi »
Back to top button