Year: 2024

Tanzania

Hati fungani ya Samia yanukia kwa wakandarasi

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameielekeza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kuondoa changamoto ya sukari

SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa hadi kufikia Februari 15, 2024 changamoto ya upatikanaji wa sukari nchini itakuwa imepungua huku ikisisitiza kuwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ajinyonga baada ya kukatazwa kwenda kwa mwenza

MKAZI wa Mtaa wa Nyihogo wilayani Kahama mkoani Shinyanga Mariamu Robert Ngasa (28) amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kamba baada…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vifaa tiba kukabiliana na kipindupindu Kanda ya Ziwa

SERIKALI imetoa vifaa tiba na kinga vyenye thamani zaidi ya Sh milioni 7 kwenye mikoa mitatu ya Kanda ya Ziwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wahalifu 76 wakamatwa Shinyanga

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watu 76 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya uhalifu ukiwemo wizi wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kocha Gambia ajiuzulu

KOCHA wa timu ya taifa ya Gambia, Tom Saintfiet amejiuzulu wadhifa wake baada ya kushindwa kulivusha taifa hilo hatua ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Matokeo sensa 2022 kuondoa changamoto Kahama

MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Mboni Mhita amesema matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022…

Soma Zaidi »
Tanzania

DUWASA yatakiwa kupeleka maji UDOM

WAZIRI  wa Maji Jumaa Aweso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuweka mpango mkakati wa dharura…

Soma Zaidi »
Tanzania

Masauni, wakuu wa vyombo vya usalama wateta

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Wakuu wa Vyombo vya Usalama…

Soma Zaidi »
Jamii

Korokoroni kwa kumuua mdogo wake

JESHI la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia Asteria Renatus (34) mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Mwajuli Wilaya ya Kwimba mkoani…

Soma Zaidi »
Back to top button