Year: 2024

Tanzania

Sababu yatajwa matumizi ya visima virefu, vifupi Ushetu

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amesema Halmashauri ya Ushetu imekuwa ikitumia mtandao wa maji wa visima virefu na vifupi kwa…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Makamba ataka nchi kuwa na ushawishi kimataifa

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, amefungua Kongamano la kukusanya maoni…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania yaondolewa kwenye orodha ya madeni makubwa

TANZANIA imeanza vizuri mwaka 2024 baada ya kuondolewa kwenye orodha ya nchi zenye madeni makubwa Afrika. Taarifa ya Mfuko wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wadau wataka wagombea urais wachukuliwe fomu

WADAU wameendelea kutoa maoni mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu miswada ya uchaguzi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waipongeza serikali mageuzi sera ya kodi, sekta ya fedha

WACHAMBUZI wa uchumi na fedha wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa mageuzi ya sera ya kodi na sekta ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Msajili Hazina aanza kuita waombaji bodi za mashirika

DAR ES SALAAM: OFISI ya Msajili wa Hazina imeanza kutekeleza mageuzi katika muundo na utaratibu wa kusimamia mashirika na taasisi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Historia itajirudia Kombe la Mapinduzi?

UNGUJA, Zanzibar: MLANDEGE FC wametinga fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya kuitoa APR kwa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Zanzibar kujenga bandari ya kisasa

UNGUJA, Zanzibar: RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema ujenzi wa bandari mpya ya abiria eneo la Mpiga Duri…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Trent Anord nje kwa wiki kadhaa

BEKI wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold atakuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa akiuguza jeraha la goti, meneja msaidizi Pepijn Lijnders…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Pigo Nigeria, Boniface nje Afcon

PIGO kwa Nigeria ambapo mshambuliaji, Victor Boniface anayekipiga Bayer Leverkusen atakosa AFCON huku ikielezwa kuwa huenda akawa nje kwa miezi…

Soma Zaidi »
Back to top button