Year: 2024

Tanzania

Shuwasa wakusanya Sh bilioni 20 kwa miaka mitatu

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imekusanya Sh bilioni 20 kutoka kwa wateja wake baada ya kuwauzia…

Soma Zaidi »
Kimataifa

DK Tulia katika mkutano wa 27 wa maspika, wenyeviti mabunge

UGANDA: Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kizimbani kwa kukata mtu sikio

DAR ES SALAAM: MFANYABIASHARA ,Kalumna George (18) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo ya Kariakoo akikabiliwa na mashtaka ya kumjeruhi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Diwani matatani kukodisha, kuuza mashamba ya kijiji

TABORA: WANANCHI wa Kijiji cha Iborogero na Kata ya Iborogero Wilaya ya Igunga mkoani Tabora wamemtuhumu Diwani wa kata hiyo,…

Soma Zaidi »
Tahariri

Tutoe maoni bila jazba miswada ya sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa

KATIKA mojawapo ya falsafa zake za R nne za Rais Samia Suluhu Hassan, zipo mbili zinazozungumzia kuhusu mariadhiano na mageuzi.…

Soma Zaidi »
Biashara

Ulega ang’oa uongozi mnadani Pugu

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Daniel Mushi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia apongezwa utashi wa kisiasa, falsafa yake ya R4

RAIS Samia Suluhu Hassan amepongezwa kwa kuonesha ujasiri na utashi wa kisiasa kwa kuwa tayari kuboresha demokrasia na kutengeneza mazingira…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Njia hii hapa kushuhudia AFCON

MTANDAO: Shirikisho la mpira wa Miguu nchini TFF limetoa utaratibu kwa mashabiki wanaotaka kusafiri kwenda kuipa nguvu timu ya Taifa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Hersi, Try Again ndani kamati ya hamasa timu za taifa

MTANDAO: Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ameteua kamati maalum kwa ajili ya hamasa kwa timu za…

Soma Zaidi »
Siasa

Mabadiliko sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa yasisitizwa

DAR ES SALAAM: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ameitaka serikali kufanya mabadiliko katika sheria za…

Soma Zaidi »
Back to top button