Year: 2024

Safari

LATRA yatangaza ruti mpya 10 daladala Dar

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Usafiri wa Ardhini (LATRA) imetangaza ruti mpya 10 za daladala zitakazoanzia katika Kituo kipya cha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Stars kuondoka na Sh bilioni 17 Afcon?

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itazawadiwa Dola milioni 7 ambazo sawa na Sh bilioni 17.56 endapo itachukua ubingwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia atengua uteuzi wa kamishna wa petroli na gesi

RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi, Michael Songora Mjinja. Taarifa iliyotolewa leo Januari 4,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kapinga atoa maelekezo kampuni tanzu za Tanesco

DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameziagiza Kampuni za kutengeneza Nguzo za Zege Tanzania (TCPM) na Kampuni…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Tani 9.5 za Karafuu za magendo zadakwa

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Wete na kushuhudia tani 9.5…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mbappe hajaamua bado

MSHAMBULIAJI wa Paris Saint Germain, Kylian Mbappe amesema bado hajafanya uamuzi wowote kuhusu mustakabali wake. Kwa mujibu wa mwandishi wa…

Soma Zaidi »
Africa

RSF wako tayari kuleta amani Sudan

KIKOSI cha Msaada wa Haraka cha Sudan (RSF) kimesema kipo tayari kusimamisha mapigano mara moja bila masharti kupitia mazungumzo na…

Soma Zaidi »
Infographics

Onyo latolewa wanaochelewesha miundombinu ya shule

MOROGORO: KATIBU Mkuu Ofisi ya  Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ,Adolf Ndunguru amewataka viongozi wa…

Soma Zaidi »
Africa

Wapinzani wengine wa Tshisekedi wakubali yaishe

WAGOMBEA wengine wawili walioshiriki uchaguzi wa rais mwezi uliopita nchini DR Congo wameeleza hawatapeleka suala hilo mahakamani. Kundi kubwa la…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Dk Mwinyi ajivunia kuvuka lengo utekelezaji miradi

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amejivunia miaka mitatu ya Serikali ya…

Soma Zaidi »
Back to top button