Year: 2025

Afya

Madaktari bingwa kuwafikia watu 7,000 Arusha

ARUSHA: Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Missaile Musa amesema wamejipanga kuwahudumia wananchi wapatao 7,000 kwenye kambi ya madaktari bingwa…

Soma Zaidi »
Bunge

Huduma afya ya akili kuboreshwa

DODOMA : NAIBU WAZIRI wa Afya, Dk. Godwin Mollel amesema serikali imepanga kuboresha utoaji wa huduma za afya ya akili…

Soma Zaidi »
Dini

Rais Samia achangia mil 50/- ujenzi wa kanisa Kigoma

KIGOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Sh milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya  Maria Mtakatifu…

Soma Zaidi »
Bunge

Wanyamapori kuwekewa uzio kudhibiti athari

DODOMA : NAIBU WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amesema serikali itaendelea kuweka uzio katika baadhi ya maeneo ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Fuateni sheria kuepuka misuguano”

DAR ES SALAAM: NAIBU msajili wa vyama vya siasa nchini, Sisty Nyahoza amevitaka vyama vya siasa kuzingatia sheria zilizowekwa hasa…

Soma Zaidi »
Infographics

Serikali, sekta binafsi kuwakwamua wanawake

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali itaendelea kuungana…

Soma Zaidi »
Tanzania

ETDCO kutekeleza mradi wa kuunganisha umeme Mbeya

MBEYA: MRADI wa kuunganisha umeme vitongoji 105 unaogharimu Sh bilioni 10.9 mkoani Mbeya utaanza kutekelezwa kupitia Kampuni ya Ujenzi na…

Soma Zaidi »
Afya

Zaidi ya milioni 450 kutekeleza miradi ya afya Longido

ZAIDI ya Sh milioni 450 zimepelekwa katika Jimbo la Longido mkoani Arusha kumalizia miradi ya afya ili kuwaondolea usumbufu wananchi…

Soma Zaidi »
Utalii

Selous; Hifadhi ya kipekee kwa uwindaji wa kitalii

PORI la Akiba la Selous linapatikana katika mikoa miwili ya Pwani wilayani Rufiji na Mkoa wa Lindi katika wilaya za…

Soma Zaidi »
Bunge

Wabunge wahimiza uandaaji wa sera jumuishi za akili mnemba

DODOMA: WABUNGE wanawake wametoa wito kwa serikali kuharakisha mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa sera jumuishi na zenye kuzingatia usawa…

Soma Zaidi »
Back to top button