Year: 2025

Infographics

Waliopisha upanuzi uwanja wa ndege walipwa mil 700/-

NAIBU Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Ujenzi Dk Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji…

Soma Zaidi »
Featured

Biteko kuhitimisha kilele maadhimisho miaka 30 VETA

Soma Zaidi »
Featured

Taifa Stars yaifuata Morocco kufuzu Kombe la Dunia

TIMU ya Taifa “Taifa Stars” imeondoka kuelekea Morocco kwenye mchezo wa Kundi E wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi…

Soma Zaidi »
Chaguzi

INEC yaonya wanaojiandikisha mara mbili

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa onyo kwa wananchi wanaojiandikisha zaidi ya mara moja katika vituo tofauti. INEC…

Soma Zaidi »
Biashara

Udanganyifu wageni Kariakoo waanikwa

SERIKALI imesema imebaini udanganyifu unaofanywa na wenyeji kwa kushirikiana na wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo, Dar es Salaam. Waziri wa Viwanda…

Soma Zaidi »
Featured

Majaliwa aagiza bidhaa kukidhi viwango

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za kudhibiti viwango nchini kuhakikisha bidhaa zote zinazozalishwa zikiwemo za afya zinakidhi ubora unaotakiwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vyama vya ushirika vyatakiwa kutumia mfumo kidigitali

VYAMA vya Ushirika vimeagizwa kutumia Mfumo wa Kidigitali wa  Usimamizi wa Vyama vya Ushirika ( MUVU) ili kuwezesha upatikanaji wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ataka bodaboda, bajaji wabanwe kuzuia ajali

KITUO cha umahiri wa usalama barabarani kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini kimetaka sheria za usalama barabarani zisimamiwe madhubuti…

Soma Zaidi »
Infographics

Mwalimu mbaroni kumnajisi mwanafunzi wake

MWANZA: JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 10 kwa nyakati tofauti.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwanamke afariki dunia akiwa gesti Mwanza

MWANZA: MWANAMKE mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni (Guest House) iliyopo wilayani…

Soma Zaidi »
Back to top button