Year: 2025

Featured

Chasambi awapigia magoti Simba

KIUNGO wa Simba, Ladack Chasambi amewaomba radhi viongozi, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kwa kujifunga goli na kusababisha timu…

Soma Zaidi »
Featured

Polisi yaita mashabiki ikivaa Kiluvya Championship

TIMU ya Polisi Tanzania imeita mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono kuelekea mchezo wa Ligi ya Championship dhidi ya…

Soma Zaidi »
Afya

Burkina Faso waiomba JKCI ujuzi matibabu ya moyo

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Burkina Faso kupitia washauri wa rais na madaktari bingwa, wamefika nchini Tanzania kuingia makubaliano ya…

Soma Zaidi »
Featured

Vunjabei, Macho waitwa timu ya taifa ya ngumi

SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) limetangaza mabondia 15 wa timu ya taifa ya ngumi watakaoingia kambini kujiandaa na mashindano ya…

Soma Zaidi »
Featured

Vuta nikuvute ‘Derby’ ya Madrid leo

MACHO na masikio ya wapenda soka duniani leo yataelekea mji mkuu wa Hispania, Madrid kunakofanyika mchezo wa watani wa jadi(Derby)…

Soma Zaidi »
Tanzania

REA kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 19,000 Mbeya

RUNGWE, Mbeya: WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na kampuni ya Oryx Gas Tanzania, leo Februari 08 inaendelea kusambaza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tawa yakabidhi madawati ya Sh mil 25/- shule msingi, sekondari

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Sh millioni 25.9 kwa…

Soma Zaidi »
Featured

Waathirika mvua Mikindani watakiwa kuwa wavumilivu

MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amewataka wananchi waliyopatwa na athari mbalimbali kwenye Manispaa ya Mtwara Mikindani ikiwemo…

Soma Zaidi »
Featured

Hili la elimu kwa wachambuzi lisipuuzwe

HIVI karibuni bungeni Dodoma, serikali kupitia Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, imeelekeza wachambuzi kwenye vyombo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Uwanja wa ndege wa Iringa na safari mpya angani

Safari za anga za ndege kubwa katika Kiwanja cha Ndege cha Iringa zinatarajiwa kurejea tena rasmi Februari 22 mwaka huu,…

Soma Zaidi »
Back to top button