Year: 2025

Sanaa

Don: Filamu hii itakufanya uite maji ‘mma’

DON ni filamu ya mwaka 1978 iliyojaa taharuki, ikiwa imeongozwa na Chandra Barot. Katika filamu hii, Amitabh Bachchan amecheza nafasi…

Soma Zaidi »
Featured

Kasekenya aagiza miradi ya CSR ijengwe kwa kiwango

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Timu zitumie muda vizuri Ligi Kuu kusimama

LIGI Kuu Tanzania Bara imesimama kwa kipindi cha miezi miwili kupisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2025 na Michuano ya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mzunguko wa kwanza ulivyokula vichwa vya makocha

MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara umekamilika, baada ya kila timu kucheza michezo 15 wakati huo huo bado…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia ateua majaji wane, ampangia kituo balozi

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa majaji wa Mahakama ya Rufani, wenyeviti wa bodi na kumpangia kituo cha kazi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watu 33,000 hufariki matumizi nishati isiyo safi

ARUSHA: TAKRIBANI watu 33,000 kwa mwaka wanafariki nchini tanzania ikiwa ni moja ya athari ya matumizi ya nishati isiyo safi…

Soma Zaidi »
Featured

Wanaume 2 waliovalia gauni, vilemba wauawa tukio la ujambazi

WANAUME wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa wamevalia gauni na vilemba kwa lengo la kuficha utambulisho wao, wameuawa kwa kupigwa…

Soma Zaidi »
Featured

Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi 33 wanaotumikia adhabu za makosa yoyote katika Chuo cha Mafunzo…

Soma Zaidi »
Jamii

Dk Slaa kizimbani, atuhumiwa kusambaza uongo

MWANASIASA Dk Wilbrod Slaa (76) amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shitaka linalomkabili la kusambaza taarifa za uongo kupitia…

Soma Zaidi »
Siasa

Mbowe: Sijatimiza maono kuijenga Chadema

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema sababu ya yeye kugombea tena nafasi ya mwenyekiti wa…

Soma Zaidi »
Back to top button