Year: 2026

Infographics

Tume yabaini ongezeko la mifugo, makazi Ngorongoro

TUME ya Rais ya Kutathmini Matumizi ya Ardhi katika Wilaya ya Ngorongoro imebaini ongezeko la watu, mifugo na makazi ndani…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Uamuzi kuhamisha wananchi ulikuwa sahihi’

TUME ya Rais ya Kutathmini Uhamaji wa Hiari ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro imesema uamuzi wa serikali wa kuhamisha wananchi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia aagiza Ngorongoro ilindwe

RAIS Samia Suluhu Hassan amehimiza Watanzania washirikiane kulinda na kuhifadhi Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa manufaa ya taifa na…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Tuongeze uzalishaji wa nguzo za zege’

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea na kukagua mradi wa kiwanda cha uzalishaji wa nguzo za…

Soma Zaidi »
Afya

Kamati ya Bunge yapongeza huduma za mama na mtoto

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetoa maelekezo kwa hospitali zote nchini kufuata miongozo ya…

Soma Zaidi »
Afya

Ushirikiano wahitajika chakula shuleni

NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidhi Ameir ametoa wito kwa wadau wa elimu, wazazi na jamii kwa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Wakazi wa Pemba dumisheni amani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu pamoja…

Soma Zaidi »
Jamii

Kamati ya Bunge yaridhishwa kasi ujenzi jengo jipya CBE

DAR ES SALAAM; Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika, ameeleza kuridhishwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

CCM kuzingatia mgawanyo walimu sekondari Kahasa

MWANZA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema atahakikisha mgawanyo wa walimu…

Soma Zaidi »
Afya

‘Kuna ongezeko kubwa wagonjwa wa figo nchini’

DAR ES SALAAM : Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)  imeadhimisha siku ya Figo Duniani inayofanyika Alhamisi ya pili ya…

Soma Zaidi »
Back to top button