Year: 2026

Biashara

Mauzo ya mazao yaongezeka asilimia 43.6

KIASI cha mazao yaliyouzwa kupitia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kimeongezeka kwa asilimia 43.6 katika mwaka wa fedha 2025/26.

Soma Zaidi »
Afya

Serikali yazidi kusogeza karibu huduma za afya

BARIADI, Serikali imeendelea kusogeza karibu huduma za afya  kwa wananchi, baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Zahanati ya Bipyayi  kuzinduliwa…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia akutana na viongozi vyama vya siasa

DAR ES SALAAM; Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa nchini, Ikulu Dar…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bodi ya usajili ya uchukuzi njiani kuanzishwa

DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itachukua hatua za kuimarisha taaluma ya uchukuzi nchini, ikiwemo kuharakisha…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Serikali yawaendeleza wabunifu 70

DAR ES SALAAM: Serikali imesema imefanikiwa kuwaendeleza wabunifu 70 waliotokana na mashindano ya Sayansi na Teknolojia (MAKSATU), huku ikiwa katika…

Soma Zaidi »
Infographics

Watu 34,139 wafikiwa mradi wa Buhoma

DAR ES SALAAM; WATU 34,139 kutoka vijiji 10 vya kata nne za Tarafa ya Makere, Halmashauri ya Wilaya Kasulu mkoani…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Soka la Tanzania litajengwa watanzania

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema ukosoaji wenye nia njema ni sehemu muhimu ya maendeleo ya…

Soma Zaidi »
Fedha

IMF yaipa tano TRA

DAR ES SALAAM: Ujumbe wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) ukiongozwa na Thabo Letjama umekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mkakati mpya wa Macron Afrika wajaribu ushawishi uliopotea wa Ufaransa

UFARANSA: RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, anakabiliwa na changamoto kubwa ya kidiplomasia wakati nchi hiyo ikijaribu kujenga upya uhusiano wake…

Soma Zaidi »
Tanzania

TISEZA, TLS–AYL kuboresha huduma za kisheria wawekezaji

DAR ES SALAAM; Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa miaka mitatu…

Soma Zaidi »
Back to top button