Na Lucy Ngowi

Biashara

Kituo cha biashara EAC kuanza kazi Juni

DAR ES SALAAM; ZAIDI ya wafanyabiashara 2000 wanatarajia kunufaika na Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki kilichopo Ubungo jijini Dar…

Soma Zaidi »
Afya

Madiwani wataka gharama za wajawazito ziwekwe wazi

KAGERA; Meya Manispaa ya Bukoba, Gibson Godson ameitaka Idara ya Afya Manispaa ya Bukoba kuhakikisha wanaweka wazi gharama za vipimo,…

Soma Zaidi »
Siasa

Mwanahabari ajitosa uenyekiti CCM Mwanza

MWANZA; Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Mwanza, akiwemo mwandishi wa habari Gerald Robert wamechukua fomu ya uenyekiti wa…

Soma Zaidi »
Jamii

Waahidi kutunza misitu kuinua uchumi

MANYARA; Jamii ya Wahadzabe, Wadatoga na Masai kutoka Wilaya za Mbulu na Kiteto mkoani Manyara wamesema wataendelea kulinda na kutunza…

Soma Zaidi »
Jamii

Hati za ardhi 283 zatolewa siku tatu Ubungo

DAR ES SALAAM; IKIWA ni siku tatu tangu kuzinduliwa kwa utoaji wa hatimilki za ardhi kupitia programu ya Ardhi Kliniki…

Soma Zaidi »
Jamii

TSN, Ofisi ya RC Mtwara kuimarisha uhusiano

MTWARA; MKURUNGEZI Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tuma Abdallah amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa…

Soma Zaidi »
Jamii

‘Wekeni programu kuboresha afya za wafanyakazi’

DAR ES SALAAM; CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), kimewaomba waajiri kuweka programu mbalimbali katika maeneo ya…

Soma Zaidi »
Madini

Mavunde aagiza dosari za uchimbaji zifanyiwe kazi Mwakitolyo

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amemuelekeza  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo kufanyia kazi marekebisho ya dosari…

Soma Zaidi »
Infographics

Kero 117 zaibuliwa Takukuru Kigoma

JUMLA ya kero 117 zimeibuliwa na wananchi kupitia vikao vya kata viliivyofanywa na Taasisi ya Kuzuia na kupambana na rushwa…

Soma Zaidi »
Siasa

Makonda aagiza stendi iliyofungwa Sengerema ifunguliwe

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ya CCM Taifa, Paul Makonda, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema,…

Soma Zaidi »
Back to top button