Na Yohana Shida, Geita

Jamii

Amzika mwanawe akiwa hai apate ‘kudanga’

JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Oliver Meshack (19), mkazi wa kitongoji cha Mapinduzi, kata ya Buselesele wilayani Chato kwa…

Soma Zaidi »
Kanda

Sh Bil. 8 kutekeleza miradi ya maji Mtwara

SERIKALI imetoa Shilingi Bilioni 8 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya Maji, wilayani Mtwara. – Miradi hiyo inatekelezwa na Mamlaka…

Soma Zaidi »
Siasa

Madiwani Arusha wang’aka kauli ya Gambo

MADIWANI wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, wamemjia juu Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na kudai tuhuma dhidi yao…

Soma Zaidi »
Bunge

EALA wapitisha muswada Kamisheni Huduma za Fedha

BUNGE la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limepitisha muswada wa Kamisheni ya Huduma za Fedha ya Afrika Mashariki (EAC). Muswada…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Sawa Morocco kafungwa ila hadaiwi!

JUMATANO jioni kwenye Uwanja wa Al Bayt ulikuwa ni sehemu ya ndoto kwa Morocco kufika fainali ya Kombe la Dunia,…

Soma Zaidi »
Kanda

‘Hakikisheni mbolea inawafikia wakulima’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Wakuu wa Mikoa kote nchini wahakikishe kunakuwa na idadi ya kutosha ya mawakala wa pembejeo…

Soma Zaidi »
Siasa

Mwenyekiti Wazazi CCM Dar hataki ‘chawa’

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salam, Khadija Ally, amesema hataki watu…

Soma Zaidi »
Jamii

Wapinga anayedaiwa rushwa ya ngono kuhukumiwa

WANAMTANDAO wa kupinga rushwa ya ngono Tanzania wenye mashirika jumuishi zaidi ya 150, yanayounda mtandao wa kupambana na rushwa ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Wataka rushwa ya ngono itenganishwe na nyingine

MTANDAO wa Kupinga Rushwa ya Ngono Tanzania, umemwomba Rais Samia Suluhu Hassan na Bunge la Tanzania, kukataa pendekezo la kifungu…

Soma Zaidi »
Jamii

Polisi yadaka bodaboda wasumbufu 127

POLISI Mkoa wa Arusha imeendesha operesheni maaalum, ambapo waendesha pikipiki 127 pamoja na pikipiki 125 zilikamatwa kwa makosa mbalimbali, ikiwemo…

Soma Zaidi »
Back to top button