Na Halima Mlacha

Biashara

Wajasiriamali watakiwa kutambua umuhimu wa bima

WAJASIRIAMALI wametakiwa kutambua umuhimu wa bima na kuwa na bima za biashara, ili wanapopatwa na majanga mbalimbali yakiwemo moto, kuharibikiwa…

Soma Zaidi »
Fedha

Wakandarasi wazawa watakiwa kuomba tenda

LICHA ya serikali kutenga miradi maalum kwa ajili ya wakandarasi wazawa katika ujenzi na maboresho ya barabara mikoani, wakandarasi wazawa…

Soma Zaidi »
Amerika

Marekani yaihakikishia Ukraine msaada zaidi

MAREKANI imeihakikishia Ukraine juu ya usafirishaji wa mifumo miwili kati ya minane ya ulinzi wa anga ya NASAMS ambayo iliahidi…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Aponda uchunguzi wa mlipuko Crimea

OFISA wa ngazi ya juu wa Ukraine, ametaja uchunguzi wa Urusi kuhusu mlipuko wa juma lililopita ni “upuuzi. ” Mlipuko…

Soma Zaidi »
Dini

Viongozi wa dini kurudishwa ‘shule’ kuharibika maadili

VIONGOZI wa dini watalazimika kurudi ‘shule’ ya maadili, ili kukabiliana na tatizo la mmomonyoko wa maadili unaoshamiri nchini. Hatua hiyo…

Soma Zaidi »
Biashara

Nchi 11 zakutana Dar mikakati ya uzalishaji

NCHI 11 zinakutana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati imara inayotekelezwa kupitia sera mbalimbali za kisekta za uzalishaji, ili zizalishe…

Soma Zaidi »
Gesi

Wabunge wapongeza uendeshaji mitambo ya gesi

KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri serikali kuwaendeleza kielimu wataalamu wa ndani wanaosimamia na kuendesha mitambo…

Soma Zaidi »
Kanda

‘Usaili wa ajira ufanyike mikoani’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Utawala Bora, Jenista Mhagama, ameagiza mifumo iboreshwe mikoani kwa…

Soma Zaidi »
Kanda

Serikali kutoa kipaumbele wanawake, watoto

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali itaendelea kutoa kipaumbele kuhakikisha wanawake na watoto wa kike wanapata huduma wezeshi, zikiwemo za…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania, Uganda kushirikiana kudhibiti Ebola

TANZANIA na Uganda, zimeingia makubaliano ya kufanya kazi kwa ushirikiano mipakani, ili kudhibiti ugonjwa wa Ebola. Makubaliano hayo yalifikiwa jana…

Soma Zaidi »
Back to top button