Na Oscar Job

Michezo na Burudani

Waziri Mchengerwa ataka tathmini kuvurunda Stars

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kukutana mara  moja na Baraza la…

Soma Zaidi »
Kanda

Waziri wa Ardhi atoa maagizo majengo, vituo vya mafuta

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula ameagiza kusimamishwa kwa ujenzi wa majengo yanayojengwa kinyume cha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Nyota Simba ataka aliyemleta Zoran ajiuzulu

BEKI wa zamani wa Simba na timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Daud Salum, amesema Simba isiishie tu kuvunja mkataba na…

Soma Zaidi »
Kanda

Raia wa Uganda akutwa na mihuri ya TRA, kilimo

JESHI la Polisi mkoani Kagera, linamshikiria raia wa Uganda akidaiwa kumiliki, kutumia  mihuri mitatu ya serikali kinyume na sheria  za…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba wamfukuza kocha

KLABU ya Simba ya Dar es Salaam, imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zoran Maki.…

Soma Zaidi »
Kanda

Walimu Z’bar ziarani Mara

WALIMU wasiopungua 50 kutoka Zanzibar, wapo mkoani Mara kujifunza na kuunga mkono mpango wa kukuza utalii, uliyozinduliwa na Rais wa…

Soma Zaidi »
Kanda

Mv Mwanza yakaribia kuinogesha Kanda ya Ziwa

MELI ya Mv Mwanza ‘Hapa kazi’ ni meli kubwa kuliko zote zilizowahi kuelea katika maziwa  ya Victoria, Tanganyika na Nyasa…

Soma Zaidi »
Dodoma

Majaliwa asisitiza uadilifu ujenzi mji wa serikali

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa…

Soma Zaidi »
Biashara

Kilio cha wavuvi Mwanza chamfikia Kinana

WAVUVI wa Mikoa ya Mwanza na Mara, wamewasilisha kilio chao kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, wakilalamika…

Soma Zaidi »
Kanda

Polisi yaonya magari ya shule yasiyokaguliwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha, limefanya ukaguzi wa magari ya shule mbalimbali mkoani humo, ambapo zaidi ya magari 150…

Soma Zaidi »
Back to top button