Mwandishi Wetu

Tanzania

Waliomaliza kidato cha sita 2024 waitwa JKT

DODOMA: JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limewaita vijana waliohitimu kidato cha sita mwaka 2024 kutoka shule zote za Tanzania Bara…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Jukwaa la kampeni laporomoka nchini Mexico laua watu tisa

Mexico City, MEXICO: BARAZA la Mawaziri la Mexico limesema kuwa jengo moja limeporomoka baada ya upepo mkali kuvuma katika mkutano…

Soma Zaidi »
Jamii

Kaya 2000 Sangara zachekelea huduma za maji

MANYARA: KAYA 2000 za kijiji cha Sangara kilichopo mkoani Manyara zimenufaika na matumizi ya dira za maji za malipo ya…

Soma Zaidi »
Fedha

Chalamila atoa ahadi kwa wawekezaji mabenki

DAR ES SALAAM: BENKI ya Maendeleo leo jijini Dar es Salaam imezindua tawi jipya eneo la Mbagala huku ikitambulisha huduma…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Waziri Mkuu wa Chad ajiuzulu baada ya mshindi wa kura kuthibitishwa

N’Djamena, CHAD: WAZIRI Mkuu wa Chad Succes Masra ametangaza kuwasilisha barua yake ya kujiuzulu Jumatano leo, ikiwa wiki kadhaa zimepita…

Soma Zaidi »
Madini

Mabadiliko Sheria ya Madini yawabeba Watanzania

ARUSHA: MABADILIKO ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha Watanzania wananufaika…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kiongozi Mkuu wa Iran aongoza ibada mazishi ya Rais wa Iran

Tehran, IRAN: KIONGOZI Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameongoza sala katika hafla ya kumbukumbu ya marehemu Rais wa Iran…

Soma Zaidi »
Infographics

Kroos kwenye usahihi wa nyakati, vitendo

MADRID, HISPANIA: Usahihi ni Nini? Ni hali ambayo matokeo ya vipimo ama hesabu hupatikana na thamani sahihi kwa kiwango halisi.…

Soma Zaidi »
Madini

Waishukuru Serikali mazingira mazuri ya uwekezaji

ARUSHA: KAMPUNI ya Uchimbaji wa Dhahabu ya Geita (GGML) imeishukuru Serikali kwa kutoa mazingira mazuri ya uwekezaji. Akizungumza leo Mei…

Soma Zaidi »
Biashara

Wafanya jambo kunogesha Euro

DAR ES SALAAM: Wakati fainali za Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’, zikitarajia kuanza mwezi ujao, kampuni za Tigo, Parimatch, na…

Soma Zaidi »
Back to top button