Na Brighiter Masaki

Michezo na Burudani

Kivumbi tuzo za filamu 2023

DAR ES SALAAM: Bodi ya Filamu imetangaza rasmi washindi waliofanikiwa kuingia katika vinyang’anyiro mbalimbali vya tuzo za filamu mwaka 2023…

Soma Zaidi »
Afya

Muhimbili kuondoa mtoto wa jicho kwa matundu madogo

DAR ES SALAAM; HOSPITALI ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Madaktari Bingwa wa Macho kutoka Korea inatarajia kuweka kambi maalumu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Dulla Mbabe kulipa kisasi kesho?

ARUSHA; Mabondia, Abdallah Pazi maarufu Dulla Mbabe kutoka Tanzania na Erick Katompa kutoka DR Congo wamepima uzito tayari kwa pambano…

Soma Zaidi »
Afya

Magonjwa ya ngono chanzo cha matumizi holela ya Antibiotiki

DAR ES SALAAM: MAGONJWA ya ngono yametajwa kuwa chanzo cha matumizi holela ya dawa za antibiotiki nchini. Hayo yamesemwa na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa atoa maagizo kwa Mameneja TANROADS

TANGA; Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaagiza mameneja wa wakala wa barabara TANROADS katika mikoa inayopakana na barabara kuu ya…

Soma Zaidi »
Afya

Elimu ya choo bora yapigiwa debe

DAR ES SALAAM: ELIMU imetakiwa kutolewa zaidi ili kuelimisha na kuhamasisha watanzania kuwa na matumizi bora ya vyoo majumbani na…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Zaidi ya Sh bilioni 35 kurahisisha mawasiliano usafiri wa Anga

DAR ES SALAAM: SERIKALI imeendelea kufunga mitambo ya kisasa zaidi ikiwemo mitambo ya mawasiliano kwa njia ya sauti VHF yenye…

Soma Zaidi »
Afya

Abiria stendi ya magufuli kupimwa TB

DAR ES SALAAM; SERIKALI imeweka mkakati wa kuwapima ugonjwa wa kifua kikuu (TB) wasafiri wanaoingia na kutoka katika mkoa huo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Nchi 12 kusaka heshima michuano ya Gofu Arusha

ARUSHA: WACHEZAJI 220 kutoka nchi 12 Duniani wanashiriki mashindano ya gofu yanayofanyika katika Viwanja vya Kili gofu vilivyopo wilayani Arumeru…

Soma Zaidi »
Jamii

Watumishi Mbongwe wakaliwa kooni

GEITA: WATUMISHI wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utumishi…

Soma Zaidi »
Back to top button