Ismaily Kawambwa

Mafuta

Kapinga azionya Kampuni za uuzaji mafuta

DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amezionya kampuni za uuzaji wa mafuta dhidi ya kuhodhi mafuta, kitendo…

Soma Zaidi »
Siasa

ACT wasifu utendaji wa Majaliwa

KIGOMA: CHAMA cha ACT Wazalendo Mkoa Kigoma kimepongeza hatua ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda tume na kamati mbalimbali kufuatilia…

Soma Zaidi »
Jamii

Mwangaza sheria ya mtoto kudhibiti ukatili

GEITA: UELEWA duni pamoja na kupuuzwa kwa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 miongoni mwa wazazi, walezi na taasisi imetajwa…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

UN kuendelea kuwezesha vijana kwenye ubunifu

DAR ES SALAAM: KUELEKEA maadhimisho ya miaka 78 tangu kuanzishwa kwa Shirika la Umoja wa Mataifa nchini, shirika hilo limebainisha…

Soma Zaidi »
Afya

Serikali Zanzibar kushirikisha sekta binafsi huduma za hospitali

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Zanzibar imekuja na utaratibu mpya wa kushirikisha sekta binafsi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia azitaka mahakama kutumia teknolojia ya kisasa

ARUSHA: RAIS Samia Suluhu Hassan amezitaka mahakama kutoka nchi wanachama 16 za Kusini na Mashariki mwa Afrika kutumia teknolojia za…

Soma Zaidi »
Tanzania

Moto wateketeza bweni Bukoba

KAGERA: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza bweni moja katika shule ya sekondari ya wasichana Omumwani Iliyoko kata ya Nshambya…

Soma Zaidi »
Jamii

Mvulani mbaroni akidaiwa kunajisi

MTWARA: MVULANA mmoja (14) mkazi wa kijiji cha Mnete Kitongoji cha Chiano Kata ya Nalingu iliyopo halmashauri ya Wilaya ya…

Soma Zaidi »
Gesi

Taifa Gas kuanza kuzalisha umeme Zambia

ZAMBIA: KAMPUNI ya Taifa Group, imeingia imeingia mkataba wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi nchini Zambia. Mkataba huo umeingiwa na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania kuendeleza ushirikiano na UNDP

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amepokea Hati za Utambulisho za…

Soma Zaidi »
Back to top button