Veronica Mheta

Jamii

Shamba lachanganywa bangi, mahindi, alizeti

ARUSHA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini wamefanikiwa kuteketeza zaidi ya ekari 50…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Singida FG wameamua kuanza upya

MWANZA: Uongozi wa klabu ya SINGIDA Fountain Gate FC umetangaza kumfuta kazi kocha, Thebo Senong na benchi lake zima kufuatia…

Soma Zaidi »
Jamii

TET watoa mafunzo mtaala ulioboreshwa

DAR ES SALAAM: Katika kuelekea siku ya Wanawake Duniani Wakuza Mitaala wanawake kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) wametoa mafunzo…

Soma Zaidi »
Jamii

“Wanawake wanauogopa uongozi”

DAR ES SALAAM: Licha ya kuongezeka  kwa idadi ya wanawake katika nafasi mbalimbali za uongozi bado wanawake wameshidwa kutojitokeza kuwania…

Soma Zaidi »
Muziki

Rayvany: Muziki nje umenipa heshima

MSANII wa Bongo fleva, Raymond Shaban, ‘Rayvanny’ amesema safari yake  ya ughaibuni imeendelea kumpa heshima na kusababisha jina lake kuwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Salah arejea mazoezini

LIVERPOOL, England: Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah amerejea mazoezini leo huku timu yake ikijiandaa kuikabili Manchester City siku ya Jumapili…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa amsimamisha kazi Meneja Tanroads Lindi

LINDI: WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Mhandisi Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia…

Soma Zaidi »
Jamii

Watoa vifaa vya ujenzi maporomoko Hanang

MANYARA: BENKI ya Biashara  ya Mkombozi imetoa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya Sh milioni 7.7, ikiwa na lengo la …

Soma Zaidi »
Jamii

Mkurugenzi Halmashauri Ngorongoro mambo safi

ARUSHA: Kamati ya siasa Mkoa wa Arusha ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro,…

Soma Zaidi »
Jamii

“Wanawake msisahau majukumu yenu”

MWANZA: MTANDAO wa Polisi Wanawake wa Jeshi la Polisi (TPF-Net) Mkoa wa Mwanza umewataka wanawake wafanyabiashara wa Samaki katika Soko…

Soma Zaidi »
Back to top button