Festo Polea

Kimataifa

Wanajeshi wanaotaka kujitenga waua watu 11 Nigeria

Abia, NIGERIA: JESHI la Nigeria limesema watu wanaotaka kujitenga wamewaua watu 11 katika shambulio la la kustukiza kwenye kituo cha…

Soma Zaidi »
Uchumi

Maagizo yatolewa kwa wadau huduma za wanyama

DAR ES SALAAM: WAZALISHAJI na Wasambazaji wa rasilimali na vyakula vya wanyama wametakiwa kuhakikisha vyakula na viwanda vyao vimekaguliwa ili…

Soma Zaidi »
Jamii

Alex Jela miaka 12 kujifanya Askari Upelelezi

SIMIYU: MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu Alex Nangale (24) mkazi wa Mtaa wa Sokoni mjini Maswa…

Soma Zaidi »
Safari

Safari za Dubai kufungua vivutio vya utalii, Uwekezaji

DUBAI: KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) imesema kuanzishwa kwa safari za Dubai ni utekelezaji wa mpango wake wa biashara ambao…

Soma Zaidi »
Jamii

Mwanafunzi afa kwa kuonja kemikali maabara

KATAVI: Mwanafunzi mmoja wa shule ya sekondari St. Mary’s iliyopo Manispaa ya Mpanda Luis Emmanuel (17) amefariki baada ya kunywa…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Dk Mwinyi ateua wawili sanaa

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemteua Juma Chum Juma kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania, taasisi Uswis kushirikiana kutokomeza magojwa

GENEVA: Serikali ya Tanzania na Taasisi ya Global Fund zitaendelea kushirikiana katika vipaumbele vya Serikali vinavyolenga kutokomeza magonjwa ya Ukimwi,…

Soma Zaidi »
Jamii

Andengenye akemea ubabaishaji kwenye miradi ya wananchi

KIGOMA: MKUU wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye amewataka wasimamizi na watekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani Kigoma kuhakikisha miradi hiyo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

DAS Same awapa somo wanafunzi Umiseta

KILIMANJARO: KATIBU Tawala wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Upendo Wella amewataka wanafunzi wa wilaya hiyo watakoshiiriki mashindano ya UMISETA…

Soma Zaidi »
Bunge

Dk Mollel: Waganga wakuu msizuie maiti

DODOMA: Naibu Waziri wa Afya Dk Godwin Mollel amewataka Waganga wakuu wa mikoa na wa wilaya pamoja na waganga wafawidhi…

Soma Zaidi »
Back to top button