Mwandishi Wetu

Uwekezajia

Serikali yaahidi raha sekta ya mawasiliano

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesisitiza nia ya Serikali kuunga mkono uwekezaji…

Soma Zaidi »
Bunge

Waliohamishwa pori la Kilombero, kulipwa fidia

DODOMA: SERIKALI imesema zaidi ya Sh Bilioni 7 zimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia wananchi wa Kijiji cha Ngombo Wilaya…

Soma Zaidi »
Dodoma

Majaliwa amuwakilisha Samia Mkutano SADC

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 20, 2024 amemwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Samatta atwaa ubingwa Ligi Kuu Ugiriki

ATHENS, Ugiriki: NAHODHA wa @taifastars_ Mbwana Samatta @samagoal77 ametwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Ugiriki Msimu wa 2023/24. Hilo ni taji la…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mambo yamenoga michuano ya vijana Afrika

UNGUJA, Zanzibar: TIMU ya wavulana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 15 (U15) imepangwa Kundi A ya Michuano ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jihadharini na Kimbunga IALY – TMA

DAR ES SALAAM: WATUMIAJI wa bahari na wananchi wa maeneo ya ukanda wa pwani wametakiwawa kuchukua tahadhari na kuendelea kufuatilia…

Soma Zaidi »
Dodoma

WCF watakiwa kujiongeza

DODOMA: KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeutaka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) uliopo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Rais wa Iran afariki dunia

TEHRAN, Iran: RAIS wa Iran, Ebrahim Raisi amefariki dunia katika Mkoa wa Kaskazini Magharibi mwa Iran kufuatia ajali ya helikopta…

Soma Zaidi »
Jamii

Dk Kiruswa awafunda wana Longido

LONGIDO, Arusha: NAIBU Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Longido mkoani Arusha, Dk Steven Kiruswa amesema kuwa serikali…

Soma Zaidi »
Tanzania

148 mbaroni Simiyu kwa uhalifu Aprili

BARIADI, Simiyu: JESHI la Polisi Mkoa wa Simiyu linawashikilia watu 148 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo wizi wa mali, kukutwa na…

Soma Zaidi »
Back to top button