Na Ismaily Kawambwa

Michezo na Burudani

Kinda Mzanzibar atua Simba SC

MTANDAO: SIMBA SC imekamilisha usajili wa kiungo, Saleh Karabaka (23) kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu. Taarifa…

Soma Zaidi »
Muziki

Mzazi wa Fid Q afariki

MTANDAO: MWANAMUZIKI wa Hiphop nchini Fareed Kubanda ‘Fid Q’ amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Kubanda. Kupitia mtandao wake wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Dk Mwinyi aongoza Tamasha la Mazoezi

ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amewahimiza viongozi na wananchi kufanya mazoezi ili kulinda afya na kujikinga na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dawa inatokota wezi miradi ya Serikali

MWANZA: MKUU wa Opereseheni za Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Aloyce Nyantora  amesema Jeshi la Polisi…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Samia ampongeza Tshisekedi, aahidi ushirikiano

MTANDAO: RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi kwa kutetea kiti…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Tumeendelea kudhibiti mfumuko wa bei”

IKULU: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya mafanikio ambayo Tanzania imeyapata katika mwaka uliopita kuwa ni amani, ulinzi na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Salamu za Rais Samia 2023-2024

IKULU: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema 2024 ni mwaka wa utekelezaji na matokeo, hivyo wananchi hawanabudi kubadilika na kufanya kazi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Atelekeza lori, bodaboda sita kisa bangi

MVOMERO, Morogoro: POLISI mkoani Morogoro inamsaka dereva wa lori aina ya Mitsubishi Fuso lenye namba za usajili T.301 DPQ  lenye…

Soma Zaidi »
Habari Kwa Kina

Nyuma ya chozi la Boss wa Nokia

MTANDAO: KAMPUNI ya mawasiliano ya simu, Nokia iliasisiwa mwaka wa 1865 nchini Ufini. Nokia ilikuwa kinara wa kimataifa katika mawasiliano…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ulinzi kila kona Mwanza

MWANZA: JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza limeimarisha ulinzi maeneo yote ya nchi kavu na majini katika Ziwa Viktoria kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button