Rahimu Fadhili

Infographics

“Kamilisheni uchunguzi wizi vifaa vya hospitali”

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Mwanza kukamilisha uchunguzi wa watumishi wa Hospitali ya  Wilaya ya Sengerema…

Soma Zaidi »
Afya

Madaktari Marekani watoa matibabu bure Moro

MOROGORO: MADAKTARI Bingwa kutoka Marekani waliopo katika Taasisi ya Global Health Humanity First inayomilikiwa na Jumuiya ya Ahamadiyya Duniani wameweka…

Soma Zaidi »
Afya

Muhas waandaa kambi uchunguzi magonjwa ya moyo

DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesema kimeandaa Kambi Maalum ya Afya ya Moyo…

Soma Zaidi »
Infographics

Kweweta ajitosa ubunge Kilwa Kusini

KILWA: KATIBU Mkuu Kiongozi wa Baraza Kivuli la Mawaziri wa ACT Wazalendo, Idrisa Kweweta amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

PURA: Tumejaza gesi futi 301.33 miaka minne

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema kwa kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi…

Soma Zaidi »
Afya

Waatalamu wa afya wataongezewa ujuzi -Nyembea

DAR ES SALAAM: TANZANIA na mataifa mengine 17 kutoka Afrika yanarajia kunufaika na mafunzo ya upasuaji wa mishipa ya damu…

Soma Zaidi »
Siasa

Shangwe autaka ubunge jimbo la Arumeru Mashariki

ARUSHA: NAIBU Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukuwa fomu ya kugombea ubunge…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Umuhimu matumizi teknolojia bunifu wapongezwa CABSAT 2025

DAR ES SALAAM: KATIKA dunia inayoendelea kubadilika kwa kasi kupitia maendeleo ya kidijitali, umuhimu wa kutumia teknolojia bunifu umeendelea kuwa…

Soma Zaidi »
Mitindo & Urembo

Miriam Odemba: Mimi ni chuo mavazi ya heshima

DAR ES SALAAM: “Mimi nipo, njooni kwa Miriam Odemba ili ujifunze namna halisi ya kuvaa mavazi maalum kwa mazingira maalum,…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Timu 14 za bodaboda kuwania mil 3/-

TIMU 14 za waendesha bodaboda katika Manispaa ya Kigoma Ujiji na Buhigwe zimeanza mashindano ya ya mpira wa miguu kuwania…

Soma Zaidi »
Back to top button