Na Kareny Masasy, Shinyanga

Tanzania

“Serikali inathamini mchango madhehebu ya dini”

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amesema serikali inatambua, inaheshimu na kuthamini kazi na mchango mkubwa unaotolewa na madhehebu…

Soma Zaidi »
Infographics

Wanawake washauriwa kujitokeza uongozi

WANAWAKE wamehimizwa umuhimu wa kuendelea kujitokeza kwa wingi katika kuwaniwa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao. Mkurugenzi Mtendaji…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bandari ya kusafirisha bidhaa chafu kujengwa 2025

UJENZI wa bandari ya kusafirisha bidhaa chafu eneo la Kisiwa Mgao mkoani Mtwara unatarajiwa kuanza mwezi Januari mwaka 2025, Waziri…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ufaulu mitihani NBAA wapanda

DAR ES SALAAM, Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeidhinisha matokeo ya mitihani 100 ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tani 196,000 za korosho zasafirishwa bandari Mtwara

WAKATI msimu wa uuzaji wa korosho mwaka 2024/2025 ukiendelea, Bandari ya Mtwara imesafirisha tani 196,000 korosho ghafi, Waziri wa Uchukuzi…

Soma Zaidi »
Jamii

Washauriwa kurudisha kwa jamii

TAASISI, kampuni na mashirika yakumbushwa kurudisha kwa jamii kile wanachokipata kutoka kwa wateja ili kuifikia jamii wenye uhitaji. Meneja Rasilimali…

Soma Zaidi »
Tanzania

Washauri taasisi za fedha kuwa nguzo Dira 2050

WADAU wa sekta ya fedha na Umoja wa Mabenki nchini Tanzania (TBA) wameitaka Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ijumuishe…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali kuimarisha vitendea kazi bandari Mtwara

SERIKALI imesema itaendela kuleta vitendea kazi katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) mkoani Mtwara ili kuhakikisha ufanisi wa bandari…

Soma Zaidi »
Tanzania

Jeshi la polisi latakiwa kuwa macho usiku

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limewahimiza Jeshi la Polisi Usalama barabarani na Mamlaka…

Soma Zaidi »
Fedha

Walipa kodi wazalendo wapongezwa Shinyanga

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Shinyanga imewapongeza na kuwapa zawadi baadhi ya wafanyabiashara ambao wamekuwa wazalendo na waaminifu kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button