Na Grace Mkojera

Mitindo & Urembo

Mshindi Tamasha la Mavazi Samia akabidhiwa mil 3/-

MWANAMITINDO wa Kimataifa Millen Happiness Magese amekabidhi hundi yenye thamani ya Sh milioni tatu kwa mwanamitindo Elizabeth Masuka aliyeibuka mshindi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Meya Mikindani aipongeza serikali maboresho afya, elimu

MEYA wa Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, Shadida Ndile ameipongeza serikali kutokana na maboresho ya huduma mbalimbali kwa wananchi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watembeleaji makumbusho ya taifa waongezeka

DAR ES SALAAM :Idadi ya watu wanaotembelea Makumbusho ya Taifa imeongezeka kutoka 500,000 mwaka 2019 hadi 800,000 mwaka huu. Mkurugenzi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wapewa elimu kuepusha watoto dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za  Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imetoa elimu kwa Umoja wa Wajane Arusha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Alhaji Tambaza na yasiyojulikana Uhuru wa Tanganyika

ILIKUWAJE, ilianzaje na vipi ikawezekana kuufikia uhuru nyuma ya utawala wa kikoloni wa Uingereza? Safiri nami ndani ya boti hii,…

Soma Zaidi »
Infographics

UTEUZI: Prof Janabi mshauri wa rais masuala ya afya

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi kuwa mshauri wa Rais wa…

Soma Zaidi »
Featured

UTEUZI: Msigwa arejea msemaji mkuu wa serikali

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu…

Soma Zaidi »
Infographics

UTEUZI: Kabudi apewa Wizara ya Michezo, Silaa Mawasiliano

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Taarifa iliyotolewa leo na…

Soma Zaidi »
Featured

UTEUZI: Ndumbaro, Bashungwa wahamishwa wizara

DAR ES SALAAM :Rais Samia Suluh Hassan amemteuwa Damas Ndumbaro kuwa Waziri wa Katiba na Sheria awali alikuwa Waziri wa…

Soma Zaidi »
Featured

DC Mwenda aendesha zoezi upandaji miti Iramba

Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda leo amewaongoza watumishi na wakazi wa kata ya Old Kiomboi kupanda…

Soma Zaidi »
Back to top button