Na Mwandishi Wetu

Chaguzi

Wenye ulemavu watakiwa kupiga kura

MBUNGE wa Viti Maalum anayewakilisha watu wenye ulemavu Tanzania, Stella Ikupa amewataka watu wenye ulemavu kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi…

Soma Zaidi »
Dini

Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Morogoro , Jacob Ole Mameo  amewataka wanawake wa Umoja…

Soma Zaidi »
Wanawake

“Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa”

WAGOMBEA wanawake wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, kipindi hiki cha kampeni wametakiwa kujikita…

Soma Zaidi »
Afya

Bilioni 26 kujenga chuo kikuu Muhas Kigoma

KIASI cha Sh bilioni 26 kinatarajia kutumika kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili…

Soma Zaidi »
Featured

Bil 24/- kutekeleza miradi ya maendeleo Nantumbo

RUVUMA: RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya Sh bilioni 24 kwa ajaili ya kutekeleza miradi ya maendeleo katika Wilaya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yaendelea kusogoza huduma za kisheria Arusha

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG) ,Hamza Johari amesema kukamilika kwa jengo la ofisi ya kanda pamoja na ofisi ya Mwanasheria…

Soma Zaidi »
Wanawake

“Teknolojia imeleta aina mpya ya ukatili”

KUONGEZEKA kwa matumizi ya mitandao ya kijamii kumeleta aina mpya ya ukatili dhidi ya wanawake hasa wakati huu kuelekea uchaguzi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwenyekiti EAC kupatikana Novemba 30

HATMA ya nani atapokea kijiti na kushika nafasi ya uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kujulikana Novemba 30 mwaka…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mradi wa REST kuwagusa vijana wa vyuo vikuu Iringa

Mradi wa Reproductive Equity Strategy in Tanzania (REST), unaotekelezwa na shirika la DSW Tanzania kwa kushirikiana na shirika la Alama…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Tamasha la filamu za Beijing Afrika lazinduliwa Dar

Msimu wa Matangazo ya Tamthiliya na Filamu za Televisheni za Beijing Afrika umefunguliwa rasmi Dar es Salaam, ukiongozwa na Idara…

Soma Zaidi »
Back to top button