ANKARA, Uturuki

Kimataifa

Uturuki, Somalia kushirikiana kwenye mafuta, gesi

UTURUKI imesaini mkataba wa ushirikiano wa mafuta na gesi asilia baharini na Somalia , Wizara ya Nishati ya Uturuki ilisema.…

Soma Zaidi »
Kimataifa

UN yataka usitishwaji mapigano Sudan

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano nchini Sudan. Antonio Guterres alizitaka pande zinazozozana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mabadiliko wakuu wa wilaya

UHAMISHO: Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya . Julius Mtatiro aliyekuwa Mkuu wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kindamba Mkurugenzi UDART

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Kindamba anachukua nafasi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mabadiliko wakuu wa mikoa

RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi ambapo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas…

Soma Zaidi »
Tanzania

Chongolo RC Songwe

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe. Taarifa hiyo imetolewa leo Machi 9, 2024…

Soma Zaidi »
Siasa

ACT Wazalendo yasaka ufalme Afrika

CHAMA cha ACT Wazalendo kinatazamia ndani ya miaka mitano ijayo kuwa taasisi imara zaidi inayojiendesha kwa misingi ya kitaasisi kuliko…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Arteta kocha bora Februari

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amechaguliwa kuwa meneja bora wa Mwezi Februari 2024 wa Ligi Kuu nchini England akishinda kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashungwa awapa tano wataalam Tanroads

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameipongeza timu ya wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), kwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanawake watakiwa kujiandaa kupiga kura Mtwara

WANAWAKE  waliotimiza umri wa miaka 18 na kuendelea mkoani Mtwara wametakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura …

Soma Zaidi »
Back to top button