LAGOS, Nigeria

Africa

Nigeria yakamata lori 21 za chakula zikienda nje

NIGERIA imekamata malori 21 yakiwa na chakula kuelekea Chad, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Cameroon huku kukiwa na uhaba…

Soma Zaidi »
Africa

UN yaitaka Gambia kuondoa mswada wa marufuku ya ukeketaji

UMOJA wa Mataifa (UN) umewataka wabunge nchini Gambia kuondoa mswada unaoondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake. Bunge la Gambia lilianza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Baba wa Yannick Bangala afariki dunia

BABA mzazi wa kiungo wa Azam FC, Yannick Bangala aitwaye Bangala Denis amefariki dunia, taarifa ya Azam FC imethibitisha. Klabu…

Soma Zaidi »
Jamii

Wanawake Mtwara wahimizwa ushirikiano

WANAWAKE katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kushirikiana kuhakikisha maendeleo ya wanawake yanapatikana katika janja zote. Kushirikiana kwa…

Soma Zaidi »
Afya

Waiomba serikali kuwajengea kituo huduma ya afya

WAKAZI wa kijiji cha Majengo kata ya Namtumbuka Halmashauri ya Mji wa Nanyamba mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwajengea kituo cha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Shule za msingi Mtwara zagaiwa mipira kukuza vipaji

CHAMA cha Mpira wa Miguu mkoani Mtwara (MTWAREFA) kimekabidhi mipira 1,000 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas. Mipira…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Senegal kuamua hatma yao Machi

WAPIGA kura nchini Senegal wataamua hatma ya rais wao ajaye mnamo Machi 24, Rais Macky Sall ametangaza leo. Baraza la…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Musk agoma kumchangia Trump, Biden

MKURUGENZI Mtendaji wa TESLA, Elon Musk amesema katika harakati za kuwania urais Joe Biden na Donald Trump hatochangia kiasi chochote…

Soma Zaidi »
Jamii

Vitendo vya unyanyasaji 593 vyaripotiwa Arusha

SERIKALI na wadau wa masuala ya kijinsia wakati wakiendelea kupiga vita vitendo vya ukatili wa kijinsia, katika Halmashauri ya Arusha…

Soma Zaidi »
Kanda

NEMC yatoa neno utunzaji bahari

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewataka wananchi kuacha uvuvi haramu ili kufanya mazingira ya bahari…

Soma Zaidi »
Back to top button