Lucci Lyatuu

Tanzania

Wizara yapongezwa usimamizi wa Regrow

WIZARA ya Maliasili na Utalii imepongezwa kwa hatua inazoendelea kuzichukuwa katika uboreshaji wa usimamizi wa Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbunge asikitishwa kuona shule haina vyoo

MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood amesikitishwa baada ya kubaini kutokuwepo na vyoo vya wanafunzi zaidi 1,000 na …

Soma Zaidi »
Afya

“Wataalam wa afya kuweni na weledi”

WATAALAM wa sekta ya  afya mkoani Mtwara wametakiwa kuzingatia weledi wanapowahudumia wagonjwa kwenye maeneo yao ya kazi. Rai hiyo imetolewa wakati…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia ateua naibu katibu mkuu wizara ya nishati

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Dk James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati. Taarifa hiyo imetolewa leo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watu 900,000 wajiandikisha vitambulisho vya NIDA Geita

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ofisi za Mkoa wa Geita imefanikiwa kuandikisha watu 922,000 kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ndoa ya Bayern, Tuchel kuvunjika Juni

KOCHA mkuu wa vigogo wa soka wa Ujerumani Bayern Munich, Thomas Tuchel ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu. Vyombo…

Soma Zaidi »
Africa

Waziri Mkuu DR Congo ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa DR Congo, Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu. Lukonde aliwasilisha ombi la kujiuzulu kwa Rais Felix Tshisekedi. Sasa atajiunga…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanawake wajiamini uongozi- Mahela

NAIBU Katibu Mkuu wa Afya Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk Wilson Mahela amewataka wanawake kujiamini pindi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watakiwa kuwashirikisha wadau uchaguzi mdogo

WATENDAJI wa uchaguzi kwenye uchaguzi mdogo wa kata 23 za Tanzania Bara wametakiwa kuwashirikisha kwa ukaribu wadau wa uchaguzi kwenye…

Soma Zaidi »
Utalii

Askari wa misitu wasio na maadili kukiona

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amewataka viongozi wa wakala wa huduma za misitu Tanzania kuchukua hatua stahiki kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button